Naomba msaada wa dawa ya sikio

MomB

Senior Member
Sep 2, 2020
191
276
Wakuu habari za jioni, kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu naombeni msaada jamani sikio litaniua.

Nina wiki ya tatu saizi nahangaika nalo nilienda hospital mara mbili nikatolewa uchafu huko na kuchomwa sindano nikapewa na dawa pia. Lakini wiki hii yote Hali imezidi kuwa mbaya dawa natumia ila bado.

Pain killer nameza kila baada ya masaa mawili usiku silali naombeni msaada wenu wakuu nateseka sana.
 
Pole sana mkuu...
Zamani wakati nakua, nilikua namuona mama yangu akikamua mafuta ya kuku wa kienyeji kisha ananiwekea kwenye sikio matone kadhaa na nilipona mpaka leo
Ulitumia kwa siku ngapi mkuu.? Maana nimeambiwa hiyo pia Nina siku 4 pia natumia Lakini Hali bado.
 
Sikumbuki siku sahihi mkuu, lakini wewe unatumia mafuta ya kuku uliyo yafanya mwenyewe ama umenunua yalio fanywa mtaani??
 
Wakuu habari za jioni, kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu naombeni msaada jamani sikio litaniua.

Nina wiki ya tatu saizi nahangaika nalo nilienda hospital mara mbili nikatolewa uchafu huko na kuchomwa sindano nikapewa na dawa pia. Lakini wiki hii yote Hali imezidi kuwa mbaya dawa natumia ila bado.

Pain killer nameza kila baada ya masaa mawili usiku silali naombeni msaada wenu wakuu nateseka sana.

Pole sana, kama uko Dar, wahi sasa kesho mapema Hospital ya Ekenywa pale Magomeni au karibu na kwa Shekh Yahya zamani, au kama unatokea round about ya Kigogo unaenda Magomeni kuna kituo cha daladala cha Mikumi yaani kabla yaTravertine hotel kata kushoto fuata lami kama 1 kilometa au chukua boda ulizia Ekenywa hospital, utapona kabisa kabisa kabisaaaa..

Mpigie Dr. Emanuel ndio bingwa hapo kwa namba hii..!! 0713 830 034

Huyo Dr. Emanuel ni bingwa hasa wa masikio..!! weka appointment mapema, uwahi asubuhi maana watu ni wengi sana pale Ekenywa
 
Pole sana, kama uko Dar, wahi sasa kesho mapema Hospital ya Ekenywa pale Magomeni au karibu na kwa Shekh Yahya zamani, au kama unatokea round about ya Kigogo unaenda Magomeni kuna kituo cha daladala cha Mikumi yaani kabla yaTravertine hotel kata kushoto fuata lami kama 1 kilometa au chukua boda ulizia Ekenywa hospital, utapoana kabisa kabisa kabisaaaa..

Shukrani sana mkuu, kesho asubuhi nipo hapo.
 
Wakuu habari za jioni, kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu naombeni msaada jamani sikio litaniua.

Nina wiki ya tatu saizi nahangaika nalo nilienda hospital mara mbili nikatolewa uchafu huko na kuchomwa sindano nikapewa na dawa pia. Lakini wiki hii yote Hali imezidi kuwa mbaya dawa natumia ila bado.

Pain killer nameza kila baada ya masaa mawili usiku silali naombeni msaada wenu wakuu nateseka sana.
Umejaribu bangi mbichi? i.e. majani mabichi ya bangi.
 
Mimi nilinunua tu mtaani mkuu.
Okay....
Nenda ukanunue kuku wa kienyeji, then muandae kama unataka kumpika.
Baada ya hapo... mtie kwa sufuria baada ya kumkatakata.
Mtenge pasipo maji na muache ajisumbukie kama dunia panuka.... fro there ukifunua funiko utakutana na futa kama la mwa J 😋😋
 
Mafuta ya kenge ni tiba kiboko ya sikio jaribu kutafuta kama unaweza pata yanamaliza kabisa tatizo la sikio.
 
Pole sana, kama uko Dar, wahi sasa kesho mapema Hospital ya Ekenywa pale Magomeni au karibu na kwa Shekh Yahya zamani, au kama unatokea round about ya Kigogo unaenda Magomeni kuna kituo cha daladala cha Mikumi yaani kabla yaTravertine hotel kata kushoto fuata lami kama 1 kilometa au chukua boda ulizia Ekenywa hospital, utapoana kabisa kabisa kabisaaaa..

Mpigie Dr. Emanuel ndio bingwa hapo kwa namba hii..!! 0713 830 034

Huyo Dr. Emanuel ni bingwa hasa wa masikio..!! weka appointment mapema, uwahi asubuhi maana watu ni wengi sana pale Ekenywa
Hao jamaa ni kiboko ya masikio aisee,sikio lilinisumbua kama mwezi..nlitoka huku dom mbio mbio kwenda dar..nmefika usiku..alfajir nkawa wa kwanza pale ekenywa..nmeingia nko hoi,sikio hakisikii chochote,nkakutana na dr Max..

Amenihudumia ndani ya dkka kumi sikio limezibuka.
 
Back
Top Bottom