Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

Lengo ni kukuokoa Maana ukifanya mambo kwa hisia kisa unamiliki nyumba ya urithi uswahilini ukatoa vitu vyake nje utajikuta unapata kesi ukitaka kuamini haya maneno nenda magerezani Kuna wenye nyumba wakurupukaji wamebebeshwa gunia la misumali take time to think yaani Kodi ndogo unayodai hata haizidi 90 ndo unapoteza utu
Nenda kasome comment zangu za juu hakika umekurupuka nilikuwa sahihi
 
Usitegemee kodi ya mpangaji kuishi wala usiipangie bajeti kodi anayotarajia kukulipa.

Ukitaka kupata kodi ambazo hazina usufumbufu jenga apartment hakuna mpangaji msumbufu, ila hawa tunaokaa nao nyumba moja wanasukuma siku tu wamejichokea kuliko wewe, uwe mwelewa tafuta kazi ya kufanya usiishi kwa kutegemea kodi.
Watanzania wangapi wenye uwezo wa kujenga apartment mkuu,be realistic.Infact niseme hivi,mtu mwenye uwezo wa kujenga apartment kwa Tanzania,most likely
atakuwa ametumia unlawful means,na sio watu wengi walio-tayari kujingiza kwenye practises za uovu.

Halafu mkuu kwa Tanzania,mtu mwenye uwezo wa kujenga nyumba ya kupanga is seen as rich,usikatishe watu tamaa.Kama wewe unakwapua,kwapua,waache watu wanaotaka kuishi decent lives waishi decent lives,sio za kukwapua.Afterall tulikuja duniani bila kitu,tutaondoka bila kitu.
 
90,000 kakupendelea mimi nahisi unadai 30,000 kwasababu nyumba haina umeme na iko uswahili ina maana 15,000 kwa mwezi unakuja kushusha uzi hapa

Hovyoooo
Cheki ulivyo mpumbavu mimi ndo nimeandika Huu uzi, umejaa shida mpaka unashindwa kusoma. Nenda kajenge YAKO
 
Hapa naona wapangaji ni wengi kuliko wenye nyumba zao.
Hamna Mkuu sema watu wanampenda mtoa Mada hawataki kumuona anapata Matatizo Mimi naamini atafanya maamuzi sahihi Kama tungemwambia akatoe vitu nje yawezekana lingempata Jambo na atajikuta anapata Hasara mara mbili
 
Unashindwa kulipa kodi ya miezi3 elf60 ety unakimbilia POLISi wametoa bit vyangu na ndani kulikuwa na milion2 inahitaji uwe mpumbavu kukubaliana na hilo endeleeni kudanganyana, vitu vinatolewa na huna utalofanya untavikuta serikali ya mtaa,
HUTAKI USUMBUFU KAA KWA MAMA YAKO AU JENGA NYUMBA YAKO
 
Acha kumdanganya mwenzio mwambie aende mahakamani akadai haki yake hao police ambao 90% ni layman katika sheria atatumia mihemko kumtoa huyo mtu na kesi itamgeukia na atajikuta Sehemu mbaya Sana na sijui Kama utakuja kumtolea dhamana yaani elfu 90k ndo Unamshauri afanye attacking it just sad
Sikiliza mkuu,case inaripotiwa Police kwanza ndio unakwenda mahakamani.Huendi mahakamani moja kwa moja,lazima ufungue jalada Police.

Halafu nimesema ukipata Police wazuri.Hawa wanamuita wanamweka mahabusu,halafu wanamuambia usipolipa hutoki.Mkuu adha ya mahabusu si ndogo,analipa!Nimefanya hivyo mara nyingi kwa wadaiwa wangu,aidha niliowakopesha au walionidhulumu mali na wame-nimelipa.So simdanganyi,nimefanya hivyo na nimefanikiwa.
 
Unaelewa maana ya mkataba? Unalipa kodi TRA?

Kwanza ukijifanya unajuwa sana mkataba ukikutana na mjuwaji inabidi akulipe pungufu pesa nyingine awapelekee TRA wakate nao kodi yao.
Hamna tatizo alipe pungufu, zingine apeleke huko TRA zichangie pato la taifa. Mwingine aingie kwa makubaliano yetu.
 
Sawa Cha muhimu andaa wadhamini wa kukutoa Gerezani
Unashindwa kulipa kodi ya miezi3 elf60 ety unakimbilia POLISi wametoa bit vyangu na ndani kulikuwa na milion2 inahitaji uwe mpumbavu kukubaliana na hilo endeleeni kudanganyana, vitu vinatolewa na huna utalofanya untavikuta serikali ya mtaa,
HUTAKI USUMBUFU KAA KWA MAMA YAKO AU JENGA NYUMBA YAKO
 
Unashindwa kulipa kodi ya miezi3 elf60 ety unakimbilia POLISi wametoa bit vyangu na ndani kulikuwa na milion2 inahitaji uwe mpumbavu kukubaliana na hilo endeleeni kudanganyana, vitu vinatolewa na huna utalofanya untavikuta serikali ya mtaa,
HUTAKI USUMBUFU KAA KWA MAMA YAKO AU JENGA NYUMBA YAKO

hiyo million 2 ilikuwa ya ofisi na si yangu hapo utasemaje wewe maandazi.

Kelele zote afu nyumba ya urithi na ni vyumba 2 yani hapo fulu kupiga doria kila siku ili uone kamradi kako kanaendaje[emoji23]
 
Kwenye utafutaji, kuna kipindi nikapata vyangu, nikachukua stand alone ghorofa, nikalipa mwaka mzima, nikaja nikalipa miezi sita. Mwenye nyumba nakula nae vyombo vizuri tu. Kuna siku nikakwama kuelekea kulipa miezi sita tena, nikapitisha miezi miwili. Mwenye nyumba akanimind sana. Na alikua anakula bia hata za elfu 60000 kila tukikutana kwa wiki hata mara nne.
Ulipofika mwezi wa pili kamili mambo bado magumu, jamaa alifunga nyumba, akafungia vitu vyangu ndani. Niliteseka mnooooo. Alikua kila akipambana apate mteja hapati, two weeks nikapata hela nikaenda lipa ile miezi miwili tu. Nikachukua vtu vyangu. Sikuhizi nikiwa bongo, lazma nikanywe vyombo maeneo yake yale, namkomesha.
WAZEE WENYE NYUMBA KUKWAMA KUPO, Msiwachoke watu. Akitulia anakua sawa.
For this case nashauri. Mkazanie jamaa alipe ila mpe room ya kupambana. Hawezi kaa bure hapo sio kwao.
 
Twende ukatuonyeshe hiyo ofisi ambayo unapewa m2 halafu huwezi lipa wf60 KWA miezi3 KAZI YAKO kukimbia na kuzima simu
 
Kwenye utafutaji, kuna kipindi nikapata vyangu, nikachukua stand alone ghorofa, nikalipa mwaka mzima, nikaja nikalipa miezi sita. Mwenye nyumba nakula nae vyombo vizuri tu. Kuna siku nikakwama kuelekea kulipa miezi sita tena, nikapitisha miezi miwili. Mwenye nyumba akanimind sana. Na alikua anakula bia hata za elfu 60000 kila tukikutana kwa wiki hata mara nne.
Ulipofika mwezi wa pili kamili mambo bado magumu, jamaa alifunga nyumba, akafungia vitu vyangu ndani. Niliteseka mnooooo. Alikua kila akipambana apate mteja hapati, two weeks nikapata hela nikaenda lipa ile miezi miwili tu. Nikachukua vtu vyangu. Sikuhizi nikiwa bongo, lazma nikanywe vyombo maeneo yake yale, namkomesha.
WAZEE WENYE NYUMBA KUKWAMA KUPO, Msiwachoke watu. Akitulia anakua sawa.
For this case nashauri. Mkazanie jamaa alipe ila mpe room ya kupambana. Hawezi kaa bure hapo sio kwao.
Mkuuu hapo Sawa shida ni mtu unkuta miezi4 hapokei simu anakimbia kama digidigi🤣🤣 sasa embu sema wewe kweli mtu kama zombi anarudi usiku anatembea usiku
 
Sawa Cha muhimu andaa wadhamini wa kukutoa Gerezani
Huna unachojua nenda madafu serikali za mtaa pale, nenda yombo, temeke br ya mwinyi uone vitu vya wapangaji kama wewe maskini maskini. Hawana uwezo wanakimbilia kupanga unajua nini mbwa mbwa wewe kaa kwenu upumzike
 
Fanya kama wazungu wanavyo fanya
Kabla ya kumpangisha aoneshe bank statement inayoonesha kipato chake ..uridhike kwanza ana kipato kweli au anabangaiza...

Kingine aweke dhamana ya hela ...mfano kuna mikataba unaweka Kodi ya miezi miwili kama dhamana ya kuharibu kitu....ikitokea mnasumbuana unampa notice haraka...
Pesa unamrushia ya dhamana kama hajaharibu kitu au humdai....
Hiii anatumia baba yangu mkubwa mtu wa kanuni sana usipo kuwa mtumishi umma hukai kwake ..
.huna ndoa unakaa mwenzako hataki anatak mtu ana ndoa
 
Hiii anatumia baba yangu mkubwa mtu wa kanuni sana usipo kuwa mtumishi umma hukai kwake ..
.huna ndoa unakaa mwenzako hataki anatak mtu ana ndoa
Hata wajinga wanazeeka, kuwa Baba yako mkubwa hakuondoi ujinga wake.

Kharid Aucho siyo Mtumishi wa umma.
 
Hiv hii ya kuingia saa nane usiku nankutolewa asbh saa nne imekaaje. Mana pale unaandka tarehe uloingia na kutoka inayofuata. Nahis wateja ndio hatuelewi
Huwa najiuliza Sana Hilo suala. Kuna siku nimeshuka mji Fulani huko iringa saa 10 alfajiri na sina mwenyeji. Mvua+baridi sio la kitoto. Nikaingia guest house, inafika saa 3 na nusu nikagongewa mlango nitoke muda umeisha na bado Niko na usingizi.
 
Mi nadhani pale ukiandika tarehe uliyoingia kama ni baada ya saa sita usik basi akija asbh kukutoa mkatalie. Sheria ya malazi ni masaa 24. yaani siku moja.

Hawa wahuni ndio maana ukienda kuchukua room saa nne au tano huwa wanasema vimejaa coz wanaona hapo wakikupa utakaa Hadi kesho saa nne . Sijui wamelogwa au wateja ndio tumelogwa ?
 
Back
Top Bottom