Kasi ya watu kuuza magari kwa bei ya chini, shida nini?

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Wanabodi. Kama upo katika mojawapo ya groups za madalali wauza magari utakubaliana nami kuwa kwa miezi miwili sasa kuna kasi ya wamiliki wa magari kuuza Kwa Bei za chini sana. Sijui shida Nini?. Magari tuliyozoea kuuzwa mpaka milioni 30 yanauzwa mkononi Kwa milioni 15. Tena hapo dalali kaweka chake.

Sitaki kuweka picha za hayo magari maana sifanyi biashara hiyo lakini nafikiri kuna sababu ambazo labda ninapitwa kuzijua.

Leo wamepost
 
Mi nina mashaka na hizi LC 300 eti mtu anunua na auze kama mtumba wakati ni gari mpya, huwa nina mashaka kuwa inawezekana Serikali inanunua na mengine kwenye mgao hayaeleweki yamefika kwa akina nani. Mwishowe madalali utakuta wanauza eti mil 400, gari la mil 500 uuze mil 400 hata mwaka bado.
 
Attachments

  • Screenshot_20240319-143324.png
    Screenshot_20240319-143324.png
    1.5 MB · Views: 7
  • Screenshot_20240319-143249.png
    Screenshot_20240319-143249.png
    2 MB · Views: 8
Wanabodi. Kama upo katika mojawapo ya groups za madalali wauza magari utakubaliana nami kuwa kwa miezi miwili sasa kuna kasi ya wamiliki wa magari kuuza Kwa Bei za chini sana. Sijui shida Nini?. Magari tuliyozoea kuuzwa mpaka milioni 30 yanauzwa mkononi Kwa milioni 15. Tena hapo dalali kaweka chake.

Sitaki kuweka picha za hayo magari maana sifanyi biashara hiyo lakini nafikiri kuna sababu ambazo labda ninapitwa kuzijua.

Leo wamepost
Yule waziri mpumbavu taahira anayeongoza wizara ya fedha ,si alisema uchumi wa Tanzania uko vizuri na namba D zinaongezeka kwa kasi ?

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
So wananchi uchumi uko poa ?

Hizo gari lazma ukute ni za kampuni nje ya Toyota tu 😁
 
Watu wanaenda na hesabu gari zimekuwa pasua kichwa sana barabara mbovu foleni traffic mafuta kujikuta 100000 inakutoka hovyo hovyo ni kugusa hapo bado ajali Bora ugombee usafiri wa uma au pikipiki easy
 
Labda Itakuwa watu waliweka bond na wameshindwa kukomboa.hizo siyo market price ya magari ya second na third hand
 
Back
Top Bottom