KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,443
- 5,538
Habari za wakati huu wana jukwaa.
Niko mbele yenu hapa kuomba kama kuna yoyote aliyewahi kuomba na kupata Scholarship za MEXT za nchini JAPAN aweze kunipa guidance ya mambo kadhaa maana dirisha ndo limegunguliwa.
Natanguliza shukrani na naomba kuwasilisha.
Asante.