Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

Lakini nilikusanya maoni mkuu wakanichagulia hilo.. ila kwa sababu halijawa official zaidi nitachukua maoni zaidi
kwanza lazima uwaambie functionalities ya application yako ila ww uliwaambia insta gram ya bongo na waho awakutaka umiza kichwa wakasema bongogram
 
kwanza lazima uwaambie functionalities ya application yako ila ww uliwaambia insta gram ya bongo na waho awakutaka umiza kichwa wakasema bongogram
Haya poa ... asante.. nitaangalia upya swala hilo
 
Ushauri tu. Tumia jina Tanzanite nakuhakikishia utachukua member kimataifa
 
Hongera kwa Idea yako. Mimi nina maoni haya kutokana na maelezo yako:
  1. Idea yako ni ngumu kukua. Assume mwisho wa siku watu 10,000 tu wakadownload na kuitumia na wastani wa watu 1,000 wakawa wanatuma msg/picha kwa siku. Nani ana muda wa kusoma msg 1,000 kwa siku? Haitakuwa kero kwa watu?
  2. Kwa ku-broadcast meseji/picha, huoni kuna watu utawakwaza kama picha itakuwa ya kutisha au ya ngono?
Mwanzo mzuri. Kaa chini tulia hata mwaka 1 au 2 then uje na idea ambayo ni original kidogo, not this instagram-whatsup-like stuff. Tengeneza App inayotarget TZ market kwenza then build on from there.
 
Mkuu sijasema watu wote wanatumiana message.. kuna provate messages kama social networks nyingine... mi ningependa udownload kwanza uione... kwa message wanafuatana inbox.. nilichosema ni kuwa ni post za picha ndo kwa wote... kwani hapa jamii forum post si za wote??
 
Nimekuelewa vizuri. Forget about message. Bado scenario ya picha sio scalable. Watu 1000 wakituma picha itakuwa tafrani.
 
Nimekuelewa vizuri. Forget about message. Bado scenario ya picha sio scalable. Watu 1000 wakituma picha itakuwa tafrani.
Ndo naanzia kwa kuonyesha zote.. nikija kifikisha watu elfu moja wanaopost unachange query na kiads functionality.. si kwamba functionality zilizopo zitababaki hizo milele.. maana developer ni mi mwenyewe.. nikiona kuna maitaji nachange.. ndo maana nimeweka finctionality ya kifollow..
 
Ok, ishu yangu kubwa ni kwamba naona kuna opportunity nyingi zenye impact na manufaa kwa jamii za kiafrika kuliko hii. Na naona una nafasi nzuri ya kuzifanyia kazi kwasababu tayari umeshafanya kitu tangible. Hata ukitaka kuiendeleza idea kama hii, lazima iwe na architecture ambayo ni scalable. Binafsi naweza sema kitu pekee kinachoitofautisha na insta na whatsp ni broadcasting-sasa broadcasting ni nzuri kama una users wachache.

Ningependa tutumie fursa kama hii pia kujadili ideas ambazo zinaweza kuwa na social and commercial impact. For instance, I believe there is an opportunity in Vicoba/Saccos if you can develop a mobile app to assist members transfer cash from their mobile accounts to the app and vice-versa, as well as store records, then you are likely to make an impact. Also we are yet to link mobile financial services with the web, etc. Can we create a web-based payment system that allows one to create an account and carryout transactions after depositing cash using mobile phones?
 
Ok, ishu yangu kubwa ni kwamba naona kuna opportunity nyingi zenye impact na manufaa kwa jamii za kiafrika kuliko hii. Na naona una nafasi nzuri ya kuzifanyia kazi kwasababu tayari umeshafanya kitu tangible. Hata ukitaka kuiendeleza idea kama hii, lazima iwe na architecture ambayo ni scalable. Binafsi naweza sema kitu pekee kinachoitofautisha na insta na whatsp ni broadcasting-sasa broadcasting ni nzuri kama una users wachache.

Ningependa tutumie fursa kama hii pia kujadili ideas ambazo zinaweza kuwa na social and commercial impact. For instance, I believe there is an opportunity in Vicoba/Saccos if you can develop a mobile app to assist members transfer cash from their mobile accounts to the app and vice-versa, as well as store records. Also we are yet to link mobile financial services with the web, etc. Can we create a web-based payment system that allows one to create an account and carryout transactions after depositing cash using mobile phones?
Poa asante mkuu... lengo la hii hapo ni kumotivate watu wakishajua kuwa mtanzania ameweza tengeneza whatsapp au instagram whatever.. ili vijana wawe na mwamko wa kutengeneza chochote.. kusema kujitofautisha haina haja sana.. as long as imetengenezeaa huku.. maana wenzetu wanatwambia hata toothstick hatutetengenezi... mi nina project nyingi nafanya tofauti na hii hapa
 
Habari,
Nimetengeneza app ya android application ambayo ipo supported kwa android version 4 na kuendelea.. kwa sasa ni final version kwa upande wangu. Ila nitapenda mawazo zaidi kutoka kwenu.
Kwa sasa inavyoonekana kwenye screenshot.

Tafuta Bongogram kwenye playstore au felijose systems utapata Bongogram kwenye list..

Au tembelea website ya BongoGram

Shukrani..

link ya kuweza kuidownload na kusoma descriptions ni...

Bongogram - Android Apps on Google Play
good idea boss great
 
Nmekua na interest kubwa sana kufahamu programming na business ya software kiujumla tangu nimeanza ku link na internet, mkuu kwanza nikupongeze UMETHUBUTU, UMEWEZA UMEFANYA na ninaimani utendelea kusonga mbele, mi ni mmoja kati ya walio Download bongogram na nika sign up kwa acc yangu ya facebook app iko vizuri zaidi nlitaka kukupa ushauri kidogo juu ya app yako ile nyingine PEARSONAL FINANCE mi naiona iko vizuri ukipata time hebu icheki vizuri kwa jicho la 'techno enterpreneur' ukiifanyia update hasa ukatuwekea na namna tunaweza kua na page zaidi ya moja kuhifadhia kumbukumbu tutabarikiwa sana nime download na ninaitumia nimeipenda kweli.
 
Back
Top Bottom