Nashughulikia kuiweka sehemu..ili iweze kuwa downloaded kirahisi.. asante kwa nia..
Habari,
Nimetengeneza app ya android application ambayo ipo supported kwa android version 4.* hadi 5.* .. ila kwa sasa iko kwenye majaribio.. nitaomba msaada wenu wa kimawazo..or kimarketting n.k...
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.felijose.mchunguzi.trendingimages
good idea... but kuna mapungufu kadhaa.
1- login form cjaependa kwann iwe google+ peke yake?
2-iyo picha ya kilimanjaro haijakaa poa labda utafute nyingen weke lakin iwe HD
3- wez amin cjafanikiwa kulogin
Mkuu naongezea na private messages muda si mrefu...
Ila naona kuta kitu hakionekani kwako... pale juu kwenye menu panapaswa pawepo plofile
Yah.. ndo nimegundua.. niliweka option kama screen ni ndogo.. ila kwa sasa nataka niforce ikae juu. Ndo interface inakuwa nzuri zaidi