Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

KWANZA NIKUPONGEZE KWA ULICHOKIFANYA NI HATUA NZURI. LAKINI PIA NAOMBA NIKUPE CHALLENGE KIDOGO..... KWANINI UMETENGENEZA APP KAMA INSTAGRAM ,KWANINI HUJAPENDA KUICHOSHA AKILI YAKO KUFIKIRI KITU KINGINE TOFAUTI NA INSTAGRAM AKILI YAKO UMEICHOSHA KWENYE JINA TU NAPO UMEIGA HIYO GRAM, AU LABDA UNA MALENGO YAPI JUU YA HIYO APP ?
 
M
Habari,
Nimetengeneza app ya android application ambayo ipo supported kwa android version 4 na kuendelea.. kwa sasa ni final version kwa upande wangu. Ila nitapenda mawazo zaidi kutoka kwenu.
Kwa sasa inavyoonekana kwenye screenshot.

Tafuta Bongogram kwenye playstore au felijose systems utapata Bongogram kwenye list..

Au tembelea website ya BongoGram

Shukrani..

link ya kuweza kuidownload na kusoma descriptions ni...

Bongogram - Android Apps on Google Play
Mkuu upo vizuri, kama umegonga code from scratch hyo ni hatua nzuri na endelea kukaza ufike mbali zaidi.
 
0d61b757a983f45f99d0e8dd23019bc6.jpg
Wakuu hii kitu nishakimaliza. Nina members 60 elfu sasa. Ina kila kitu sasa na inaeleweka kwa kila mtu. Install kwa link hii Habari,Video,Mziki App
 
App iko powa kabisa, lakini nimeshindwa kujisajili kutokana na mfumo wa matangazo uliyoweka, kwanini usiweka matangazo kama post?
Inakera sana pale unapotaka kutoka katika post fulani afu tangazo linwkuja kuziba kioo kizima cha simu, ni kero kubwa sana.
 
Ni kweri mkuu.. Ila na sisi kila inapotumia kuna pesa tunakatwa.. So kuweka Tangazo muhimu.. Hata tv wanakatisha taarifa ya habari kuweka tangazo
 
App iko powa kabisa, lakini nimeshindwa kujisajili kutokana na mfumo wa matangazo uliyoweka, kwanini usiweka matangazo kama post?
Inakera sana pale unapotaka kutoka katika post fulani afu tangazo linwkuja kuziba kioo kizima cha simu, ni kero kubwa sana.
Hakuna kinachoweza ishi bila matangazo.. Na youtube wanakatisha nao
 
Back
Top Bottom