Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

Hakuna kinachoweza ishi bila matangazo.. Na youtube wanakatisha nao
Sijakataa kuweka tangazo kwanii usiweke mfumo mzuri kama post, kama ilivyo hapa JF kuliko kuweka tangazo kinalofunika kioo kizima cha simu
 
[emoji106] [emoji106]
Unakumbuka YouTube wametoka wap?? Usijilinganishe nayo,ww bado mdogo unahitaji kupigana na kumfurahisha kila mtu ukipata uzoefu ndio unaweza kufanya hivyo, lakin kwa sasa mtu ataingia akiona kero anaachana nayo
 
Mi sijawa stable kifinancial.. Labda nikiwa stable ndo nitawaza kutoa.. Kwa sasa siwezi fanyia loss
 
Wenzetu wanakuwa na sponsorship tokea mwanzoni
 
Mi sijawa stable kifinancial.. Labda nikiwa stable ndo nitawaza kutoa.. Kwa sasa siwezi fanyia loss
Ubishi hautokupeleka popote tafuta investors wateja tunakushauri unatuambia ujinga umefulia unafikiri fb whatsapp wangekuwa kama wewe wangekuwa hapo walipo
 
Ni Kwel,lakin naona hujanielewa, mm sijataka utoe, mana bila matangazo huez ishi mjini yapangilie vizuri
Yah.. Ila sasa ilo unalokataa ndo linaperform kuliko yeyote yale ndo maana nagoma mkuu
 
Ubishi hautokupeleka popote tafuta investors wateja tunakushauri unatuambia ujinga umefulia unafikiri fb whatsapp wangekuwa kama wewe wangekuwa hapo walipo
Leta hoja kistaarabu.. Ningekuwa mjibga nisingefikisha 60000 users
 
Ni Kwel,lakin naona hujanielewa, mm sijataka utoe, mana bila matangazo huez ishi mjini yapangilie vizuri
Hata mi sipendi kiwepo.. Ila no way.. Ili app isurvive kwa sasa lazima kibaki.m na uzuri linaonekana one time
 
App iko powa kabisa, lakini nimeshindwa kujisajili kutokana na mfumo wa matangazo uliyoweka, kwanini usiweka matangazo kama post?
Inakera sana pale unapotaka kutoka katika post fulani afu tangazo linwkuja kuziba kioo kizima cha simu, ni kero kubwa sana.
Watu wakumbuke kuwa mtengenezaji ametumia akili na muda wake mwingi kutengeneza na ww mtumiaji unaitumia bure, njia ya kupata angalau chochote ni kupitia hayo matangazo tena mngemsaidia sana kama mngekua mnayabofya
 
Bob sijamwambia atoe, nimeshauri arekebishe, kwani hata kama ni bure mm nitatumia kitu kinachonikera?
Mfano wa ads zake JF wakiweka ni sawa mana tayari wapo juu na kila mtu anataka kjtumia JF.
Matangazo kama hayo yanapatikana kwenye magame mazuri ambayo yanapendwa na wengi, unakuwa huna ujanja lazma ukubali tu kwa kuwa ushapenda.
Sasa kwa huyu mdau,nimempa ushauri tu.
 
Nimekupata! Ila hayo ndyo yanalipa zaidi. Mimi pia ni developer
 
Back
Top Bottom