Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,369
- 1,336
Nimeangalia play store mbn ka download mtu 1
Nimechangelocation ya app.. na pia wanaodownload hawaupdate kwa siku moja... baada ya siku fulani ndo wanaupdate number. Ila mpaka sasa haina download nyingi coz sijaitangaza popote zaidi ya hapa.. mi nachopenda kuina ni functionality zote kama zinafanya kazi ndo nianze kuitangazaNimeangalia play store mbn ka download mtu 1
Asante sana mkuu... nitajitahidi kurudia list za country upya...Japo simpenzi wa social hizi lakini wacha nikupe hongera, nimeona nimedowload nikaitazama nzuri, umejitahidi sana, angalia kuna baadhi ya nchi umesahau kujaza pale kwenye kusign up, nimeipenda kwa sbb ni ndogo pia ni mb 8 na kidogo hongera, pia nyepesi sio nzito
Mkuu nishaidownload. Ipo shida kwenye feedback. Nimejiunga kupitia email,sasa link ya kuactivate inatumwa kwenye email. Mpk sasa hv haijatumwa but am still waiting. Jaribu kurekebisha hiliHah.. asante sana mkuu... ebu tuanze tupate watumiaji wa kutosha..
Poa... nitajaribu kucheck...ila hakikisha email kama ilikaaa sawa.. ila kuna options nyingine waweza zitumia za facebook na gmail nikiwa naangalia tatizo la emailMkuu nishaidownload. Ipo shida kwenye feedback. Nimejiunga kupitia email,sasa link ya kuactivate inatumwa kwenye email. Mpk sasa hv haijatumwa but am still waiting. Jaribu kurekebisha hili
hongeraHabari,
Nimetengeneza app ya android application ambayo ipo supported kwa android version 4 na kuendelea.. kwa sasa ni final version kwa upande wangu. Ila nitapenda mawazo zaidi kutoka kwenu.
Kwa sasa inavyoonekana kwenye screenshot.
Tafuta Bongogram kwenye playstore au felijose systems utapata Bongogram kwenye list..
Au tembelea website ya BongoGram
Shukrani..
link ya kuweza kuidownload na kusoma descriptions ni...
Bongogram - Android Apps on Google Play
jina lina impact kubwa in marketing lakini kwa jina kma ilo ni ngumu mfano watu wa udom walitengeneza chatting application lakini aijulikani sababu ya jinaKwa nn wa suggest hivyo labda??
Lakini nilikusanya maoni mkuu wakanichagulia hilo.. ila kwa sababu halijawa official zaidi nitachukua maoni zaidijina lina impact kubwa in marketing lakini kwa jina kma ilo ni ngumu mfano watu wa udom walitengeneza chatting application lakini aijulikani sababu ya jina
imekaa vizuri lakini tatizo itakua lugha,haitokua tofauti sana na apps nyingine tunazotumia daily ushauri wangu ni kwamba badilisha utumie lugha ya kiswahili ili hata mtu wa kijijini aweze kuitumia kwa,hapo utatisha sanaaa na ntaidownload,kwa sasa siwezi kudownload kwa sababu najua mambo ni yaleyale,tengeneza kitu cha kipekee na tofauti chukulia kama changamotoComments please..
Poa.. asante sana kwa suggestion hiyo.imekaa vizuri lakini tatizo itakua lugha,haitokua tofauti sana na apps nyingine tunazotumia daily ushauri wangu ni kwamba badilisha utumie lugha ya kiswahili ili hata mtu wa kijijini aweze kuitumia kwa,hapo utatisha sanaaa na ntaidownload,kwa sasa siwezi kudownload kwa sababu najua mambo ni yaleyale,tengeneza kitu cha kipekee na tofauti chukulia kama changamoto