Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

Habari,
Nimetengeneza app ya android application ambayo ipo supported kwa android version 4 na kuendelea.. kwa sasa ni final version kwa upande wangu. Ila nitapenda mawazo zaidi kutoka kwenu.
Kwa sasa inavyoonekana kwenye screenshot.

Tafuta Bongogram kwenye playstore au felijose systems utapata Bongogram kwenye list..

Au tembelea website ya BongoGram

Shukrani..

link ya kuweza kuidownload na kusoma descriptions ni...

Bongogram - Android Apps on Google Play
Napenda kukushauri kwamba unabidi ubadili (update) kwenye hiyo tovuti ya BongoGram baadhi ya maneno kwenye category ya features create Plofile na iwe create profile , Upload photo and shere with people on your area. na iwe Upload photo and share with people on your area.
Ni ayo tu.
 
Asante sana mkuu.. nitajitahidi mkuj
 
(1) Je, mtu akijiunga anaweza kujitoa mwenyewe (delete account) ? Au mtu akijiunga ndiyo hatoki tena?

(2) Vipi kuhusu utunzwaji wa taarifa za mteja? Je, taasisi za usalama kama polisi, TISS, na mahakama zikihitaji taarifa za mteja wako (mwanachama wa app yako) utatoa/utawapa data/taarifa hizo?
Mkuu unaweza kutoka.. ila swala la usalama liko njema kabisa.. hii ni kampuni kwa sasa kama nyingine.. so maswala ya kiusalama hatutofautiani na makampuni mengine.. serikali ikitaka data haiwezi kuzichukua kirahisi bila idhini yetu mteja au mahakama.. hii ni kampuni kabisa.. tembelea www.softhama.com utaona huduma zetu zaidi..
 
Hongera mkuu. Fikiria startup now itakulipa mbeleni.share the idea na wa vijana wenzako wenye mawazo kama yako ktk tech,ongeza features na jitofautishe na IG itakulipa kama vijana wadogo wanavyofanya kule silicon valley
 
umtumia muda gani kuifanyia research hasa usability demands? na pia what makes instarg better than yours ni kwamba kwanza yenyewe insta ina watumiaji wengi kuliko hii that means alot for a social network. mengine ni lugha inayotumika. chagua kama unatumia kiswahili stick with kiswahili kama ni kiingereza make better a use of English.
 
Mkuu sio insta.. sema hiyo title nimeshindwa kuochange.. mwanzoni ndo ilikuwa na functionality kama za insta.. ila sasa imetofautishwa... demand naamini ipo unaweza kuchech.. kwa sasa ni ya kiprofessional na kibiashara zaidi kwa functionality zake..
 
Habari,
Nimetengeneza app ya android application ambayo ipo supported kwa android version 4 na kuendelea.. kwa sasa ni final version kwa upande wangu. Ila nitapenda mawazo zaidi kutoka kwenu.
Kwa sasa inavyoonekana kwenye screenshot.

Tafuta Bongogram kwenye playstore au felijose systems utapata Bongogram kwenye list..

Au tembelea website ya BongoGram

Shukrani..

link ya kuweza kuidownload na kusoma descriptions ni...

Bongogram - Android Apps on Google Play
Keep it up
 
Kazi. Nzuri wa bongo tunaweza app nzuri. Na mimi ni developer kwa ushauri tu fuata material design guidelines kwenye UI ya app ayo kuna baadhi ya sehemu kama keylines ni anti material, pia jaribu kutumia materia icons coz watu wengi wapo familiar nazo pia unaweza angalia app yangu kwenye link hii My Cycle - Android Apps on Google Play
 
Back
Top Bottom