Nmekua na interest kubwa sana kufahamu programming na business ya software kiujumla tangu nimeanza ku link na internet, mkuu kwanza nikupongeze UMETHUBUTU, UMEWEZA UMEFANYA na ninaimani utendelea kusonga mbele, mi ni mmoja kati ya walio Download bongogram na nika sign up kwa acc yangu ya facebook app iko vizuri zaidi nlitaka kukupa ushauri kidogo juu ya app yako ile nyingine PEARSONAL FINANCE mi naiona iko vizuri ukipata time hebu icheki vizuri kwa jicho la 'techno enterpreneur' ukiifanyia update hasa ukatuwekea na namna tunaweza kua na page zaidi ya moja kuhifadhia kumbukumbu tutabarikiwa sana nime download na ninaitumia nimeipenda kweli.