Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

Weka Jina tuende moja kwa moja play store mambo ya link udwanzi,pia weka kwenye share files site Kama mediafire,hulkshare kwa *.apk wengine playstore hatuna.

Jina ni Bongo gram au search kwa kutumia felijose systems utaipata
 
Hiyo link inasumbua kuitoa.. mpaka nisubmit upya kutokea mwanzo

Kwa upande wangu haikunipa shida nilii click ikanipa option mojawapo ni ya kuni direct moja kwa moja play store! Au ingia play store andika BONGOGRAM inakuja
 
Kaka kazi yako ni nzuri. Ni PM kuna ushauri nataka nikupe.

Habari,
Nimetengeneza app ya android application ambayo ipo supported kwa android version 4.* hadi 5.* .. ila kwa sasa iko kwenye majaribio.. nitaomba msaada wenu wa kimawazo..or kimarketting n.k...

Tafuta Bongogram kwenye playstore au felijose systems utapata Bongogram kwenye list..

Shukrani..

link ya kuweza kuidownload na kusoma descriptions ni...

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.felijose.mchunguzi.trendingimages
 
kaka kwa hapa tz utakosa soko na ili kuja hadi ijulikane tz utakuwa umealibu ela nyingi sana hata mil 5 inafika je ww utapateje fahida kutokana na hiyo app nijuze nikwambie kitu

Tena idea nyingine niliyonayo ni kuingia ubia na watu ambao washajulikana kama mitandao ya simu kuitangaza
 
Safi sana mkuu. Wacha niitafute zen feedback itafuata.
 
Tena idea nyingine niliyonayo ni kuingia ubia na watu ambao washajulikana kama mitandao ya simu kuitangaza

Mtandao wa kizalendo kwenye mitandao ya kizalendo ki kwetu kwetu!
 
Still Bongogram ni ku-twist jina la Instagram.
Think aloud about the name kwanza. Hapo ndo pa kuanzia.
 
Still Bongogram ni ku-twist jina la Instagram.
Think aloud about the name kwanza. Hapo ndo pa kuanzia.

Yah.. taratibu nitachange.. ila nayenyewe ni technic ya kuteka audience..
 
Mi sasa natengeneza tu niapate watu wa kutumia kwa sasa.. ila upande wa faida sijawaza sana.. maana kwa sasa nadepend kwa kazi niliyonayo na masilahi ni mazuri..

ok nimekupata na ili upate udhamini inatakiwa kwanza ijulikane na watu kwa kuitanzaja kwenye blogs,social networks, google adsense vile vile kwenye bulk sms. vile vile nimeona kuwa bado ujaitengenezea website yake pia fanya mchakato katika hilo
 
Haya asante sana kwa ushauri.. nitaufanyia kazi
 
APK please bob, some we ain't possess playstore.
 
Back
Top Bottom