Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

Hapo kwenye jina nakushauri ubadilishe jaribu kitu kama Tanzagram,Tangram au Bongogram. Au pia unaweza kuja na jina tofauti kabisa ambalo halitalink app yako na instagram.
 
...........👌💯
 
kazi nzuri mkuuu nimekuelewewaaa.....
ila nimeipenda sana ile app yako ya personal finance kazi nzuri sanaaa mkuu keeep it up..

felijose
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye jina nakushauri ubadilishe jaribu kitu kama Tanzagram,Tangram au Bongogram. Au pia unaweza kuja na jina tofauti kabisa ambalo halitalink app yako na instagram.

Asante.. kwabushauli.. si naweza kuitahivyo na bado ikatumika nchi nyingine? Au nitakuwa nimekosea?
 
Jina kama Bongogram halipo based kwa nchi specific kati ya hayo naliyotaja hilo liko universal zaidi.
 
Nimejimbia kwa siku tano tena.. nimekuja na kitu cha muonrkano mzuri zaidi... naomba kama umedownload update au download upya kama uliunstall.. nadhani hutojutia kuweka kwa sasa..
 
Sawa kaka ngoja niicheki
 
Safi kabisa nime update naona jina umelibadilisha limekuwa afadhali kuliko lile la kwanza
 
Nimejimbia kwa siku tano tena.. nimekuja na kitu cha muonrkano mzuri zaidi... naomba kama umedownload update au download upya kama uliunstall.. nadhani hutojutia kuweka kwa sasa..

kaka kwa hapa tz utakosa soko na ili kuja hadi ijulikane tz utakuwa umealibu ela nyingi sana hata mil 5 inafika je ww utapateje fahida kutokana na hiyo app nijuze nikwambie kitu
 
Weka Jina tuende moja kwa moja play store mambo ya link udwanzi,pia weka kwenye share files site Kama mediafire,hulkshare kwa *.apk wengine playstore hatuna.
 
Kuna link kwenye tangazo lake pia kaibadili jina inaitwa BONGOGRAM
 
kaka kwa hapa tz utakosa soko na ili kuja hadi ijulikane tz utakuwa umealibu ela nyingi sana hata mil 5 inafika je ww utapateje fahida kutokana na hiyo app nijuze nikwambie kitu

Mi sasa natengeneza tu niapate watu wa kutumia kwa sasa.. ila upande wa faida sijawaza sana.. maana kwa sasa nadepend kwa kazi niliyonayo na masilahi ni mazuri..
 
Back
Top Bottom