Msaada wa maelezo kuhusu Speakers za bluetooth

Msaada wa maelezo kuhusu Speakers za bluetooth

Kitu hicho hapo
IMG_20181228_115552_6~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mzgo wa JBL acha kabisa

Hii ni charger 3 tu..balaaa
images (4).jpeg

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Nilinunua USD 270 South Africa
Mmmh!!! Mbona ulijiingiza gharama hivo wakati option za speaker nzuri zenye mziki mkubwa na being nafuu uliambiwa kabisa kuwa ni Anker.
Yaani unanunua speaker laki sita???
Wakati kuna za laki moja with same quality
 
Kuna mzgo wa JBL acha kabisa

Hii ni charger 3 tu..balaaaView attachment 1068389

Sent from my SM-G920P using Tapatalk

Chaja tatu una maana gani. Bei yake inacheza kwenye dola ngapi.
Je, inaweza kupiga nonstop kwa muda gani kabla chaji kuisha, 4 hours???
Je inatumia betri za kununua dukani, ama kuchaji.
 
Mmmh!!! Mbona ulijiingiza gharama hivo wakati option za speaker nzuri zenye mziki mkubwa na being nafuu uliambiwa kabisa kuwa ni Anker.
Yaani unanunua speaker laki sita???
Wakati kuna za laki moja with same quality
Bei kubwa sawa ila quality hapana hazifanani,
 
Mmmh!!! Mbona ulijiingiza gharama hivo wakati option za speaker nzuri zenye mziki mkubwa na being nafuu uliambiwa kabisa kuwa ni Anker.
Yaani unanunua speaker laki sita???
Wakati kuna za laki moja with same quality
Acha masihara wewe,yani sound ya jbl unafananishe na mchina anker? Hujaiskia jbl ww [emoji3]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Acha masihara wewe,yani sound ya jbl unafananishe na mchina anker? Hujaiskia jbl ww [emoji3]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk

Bei yake ndio hiyo $270 ambazo ni almost TZS 600,000??
 
asante sana kwa ushauri na je zina mdundo mkubwa kama speakers nyingine za home theatre nk na je naweza kutumia kwenye gari?
Ukitaka mdundo mkubwa nunua speaker za BOSE hutajutia,ni speaker ndogo lakini upande wa bass ni hatari...
1068443
 
Vip anker soundcore 2, ubora wake upoje? Nimeona aliexpress wanaziuza hadi TZS 77,000
Hii ya kawaida sana ina 6W, agalau upate ya 20W na kuendelea. Ila kwa bei yake ni much decent.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom