Msaada wa maelezo kuhusu Speakers za bluetooth

Chaja tatu una maana gani. Bei yake inacheza kwenye dola ngapi.
Je, inaweza kupiga nonstop kwa muda gani kabla chaji kuisha, 4 hours???
Je inatumia betri za kununua dukani, ama kuchaji.
Charger 3 ndio jina lake

Inapiga masaa 12 hadi 14

Yani unapiga ngoma asubuh jadi jion

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Bei yake ndio hiyo $270 ambazo ni almost TZS 600,000??
Jbl charger 3 ni dola 150 almost

Sema jumia unapigwa hadi laki 5 au 6

Pia copy zake zimejaa hadi laki 3 uko kinondon

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Charger 3 ndio jina lake

Inapiga masaa 12 hadi 14

Yani unapiga ngoma asubuh jadi jion

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Nlisoma mahali ina uwezo wa kuchaji simu pia...

Oh my..... ain't no tellin
 
Mmmh!!! Mbona ulijiingiza gharama hivo wakati option za speaker nzuri zenye mziki mkubwa na being nafuu uliambiwa kabisa kuwa ni Anker.
Yaani unanunua speaker laki sita???
Wakati kuna za laki moja with same quality
Muziki wake ni mkubwa sana kupita maelezo. Unaweza kuitumia hata kwenye sherehe ya watu 100 na wakaburudika vizuri tu
 
Yaani hii speaker ndiio uliuziwa laki sita!!!
Haijani impress kwa kweli!!!
Ndugu yangu mziki wake ni mkubwa kuliko hiyo bei. Mziki wake kama ukiupa thamani ni mara mbili ya hiyo bei ni balaa. Kuna siku nilienda nayo Bagamoyo kuna hoteli Fulani ya ufukweni walikuwa wanapiga mziki mara umeme ukakata halafu jenereta likawa linazingua. Nilienda kuichukua nikawasha mziki yaani mziki wao ulionekana cha mtoto sana. Baadae umeme ulivyorudi wakaniomba waendelee kutumia JBL zangu
 
I don't think so kwenye hiyo part ya mwisho ya story yako.
Maspika makubwa manne ya mziki mnene wa 1500W yashindwe nguvu na kispeaker cha 20W.
 
Muziki wake ni mkubwa sana kupita maelezo. Unaweza kuitumia hata kwenye sherehe ya watu 100 na wakaburudika vizuri tu

Kumbe dizaini yake ndio hiyo, mie siyataki.
Mie nataka speaker ya kupiga mziki private mwenyewe, na enjoy bila kuwakwaza watu.
Bora nifocus kwenye kuagiza Anker!
 
Kama una hela nashauri ununue JBL hata ndogo au Bose. Mie nitaagiza Anker nifanye comparison maana bado nahitaji speakers nyingine kwa ajili ya vyumbani kwenye nyumba yangu. JBL bei yake imesimama sana ila mziki wake hata kama ni taratibu quality yake ni ya juu sana
 
Kumbe dizaini yake ndio hiyo, mie siyataki.
Mie nataka speaker ya kupiga mziki private mwenyewe, na enjoy bila kuwakwaza watu.
Bora nifocus kwenye kuagiza Anker!
Kuna jbl tofaut,charger 3 unatumia zako chumbani tu fresh..hayo makubwa ni mengne...ogopa sana hiyo chager 3

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Nilinunua za

Niliagiza za JBL original mziki wake sio wa nchi hii yaani hauelezeki mpk usikie ndio utaelewa na mziki mkubwa sana
Kaka Funza, hivi hizi speaker tunazo zungumzia hapa zina option ya kuchomeka Flash Disk ama memory card!!
Ama zenyewe ni special for Bluetooth tu, hata FM radio hazikamati???
 
Kuna jbl tofaut,charger 3 unatumia zako chumbani tu fresh..hayo makubwa ni mengne...ogopa sana hiyo chager 3

Sent from my SM-G920P using Tapatalk

Kaka kcamp , hivi hizi speaker tunazo zungumzia hapa zina option ya kuchomeka Flash Disk ama memory card!!
Ama zenyewe ni special for Bluetooth tu, hata FM radio hazikamati???
 
Nmeuliza inamzidi mnyama sony?

Hivi imekuaje nakuona kama Mr. MTUI lakin quote zako zinaonesha msauzy.
Walikushtukia moderators nini?? Ok, nilikua na swali kidogo nisaidie.

Hivi hizi speaker tunazo zungumzia hapa zina option ya kuchomeka Flash Disk ama memory card!!

Zingine zina option ya kuchomeka flash na kuweza kuplay.. Yangu mm inasehem ya kuchomeka flash but nikiweka huwa haiboot so huwa tu naitumia kuchajia simu. Most of them hazikamati redio labda ziwe za kichina
 
Ok. Nimeagiza leo Anker SoundCore Pro+ ngoja nisubiri after 3 weeks itafika.
Nitakua naenda nayo Jangwani Sea Breeze nawasha mziki halafu nakatika sana huku nimevaa chupi na sidiria.
 
Kaka Funza, hivi hizi speaker tunazo zungumzia hapa zina option ya kuchomeka Flash Disk ama memory card!!
Ama zenyewe ni special for Bluetooth tu, hata FM radio hazikamati???
Hii JBL ina sehemu ya flash ila haina FM, ili kusikiliza FM nimenunua kisimu cha Nokia ndio nakiunga kwa waya balaa lake sidhani kama kuna home theatres zinasogelea
 
Ok. Nimeagiza leo Anker SoundCore Pro+ ngoja nisubiri after 3 weeks itafika.
Nitakua naenda nayo Jangwani Sea Breeze nawasha mziki halafu nakatika sana huku nimevaa chupi na sidiria.
Ukienda ni PM nije kuburudisha macho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom