Msaada wa maelezo kuhusu Speakers za bluetooth

Msaada wa maelezo kuhusu Speakers za bluetooth

Screenshot_20180107_122529.png
Screenshot_20180107_122754.png
Tafuta hii speaker mkuu, hautoamini kwa udogo wake lakini mdundo unaotoka ni shidaa. Bei yake ni laki moja tu, kwa kuagiza online.
Anker SoundCore 2 Portable Bluetooth Wireless Speaker Better Bass 24-Hour Playtime 66ft Bluetooth Range IPX5 Water Resistance
ba639dcb6a177d80b2f76274c01e39fb.jpg

2cab8cf47bf2a66b6bf4dcf7916b9857.jpg

3b4e25d3781f4b83e649027e41c543e7.jpg
Screenshot_20180107_122754.png

Kuliko hizo?
 
Km uwezo wako ni chini la $100 basi agiza huo mziki hapo,ni hatari tena kwa affordable price kabisa kutoka store yao aliexpress.Ndo top sound ya anker hakika sijajutia pesa yangu
IMG_20181215_144755.jpeg
IMG_20181215_144941.jpeg
IMG_20181215_150013.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
funzadume hebu naomba picha, ukiweza unipe na link ya hiyo spika pia. Napenda sana spika ndogo zenye mziki wa kueleweka.
Bei yake pia vipi.
,
 
aise picha nitaipiga nikienda ofisini kesho niliiacha ofisini hiyo speaker
 
Hata hyo home thietr yako inaweza kua ya btth ukitaka

Voxser empire
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom