Msaada wa maelezo kuhusu Speakers za bluetooth

Msaada wa maelezo kuhusu Speakers za bluetooth

Kaka Robot, hivi hizi speaker tunazo zungumzia hapa zina option ya kuchomeka Flash Disk ama memory card!!
Ama zenyewe ni special for Bluetooth tu, hata FM radio hazikamati???
Hiyo Bose inakubali flash, SD Card, Bluetooth na Aux in

Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
 
Ok. Nimeagiza leo Anker SoundCore Pro+ ngoja nisubiri after 3 weeks itafika.
Nitakua naenda nayo Jangwani Sea Breeze nawasha mziki halafu nakatika sana huku nimevaa chupi na sidiria.
Jangwani pale kuna mziki wa kutosha haina haja ya kwenda nayo..labda beach zingine ambazo hazina fujo
 
Mwenye uhitaji wa jbl clip3 & jbl go2 Bluetooth speaker tuwasiliane PM/ WhatsApp Partager sur WhatsApp
420366009.jpg
-1196537297.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 1239998404.jpg
    1239998404.jpg
    94.5 KB · Views: 24

Similar Discussions

Back
Top Bottom