Msaada wa machaguo ya vyuo TCU

Msaada wa machaguo ya vyuo TCU

Wanaangalia ufaulu wa a level mkilingana wanaenda o level mkilingana ndo wanaangalia nani aliwahi kuomba
 
Dogo mbna ujatulia!!
Minahis unatudanganya matokeo yako.
inaezekana hujapata dvsn2 ya 10!!
Kama unahuo ufaulu nakwambia jaza udsm ya kwanza medicine ukikosa labda siyo mm mzoefu!!
Last year UDSM MD walichukua mpaka Merit yaan dvsn2 na ilikua BRN mwaka huu wnyw dvsn 2 y mwanzo UDSM mnapata.
Ila kama umepata hyo point y nn uangaike na Hubert Kairuki.!?
1.UDSM
2.AJUCO
3.KAIRUKI
ALL THE BEST
ufaulu wako n mkubwa Donworry about cmpttn from other applicant.
mkuu nakipenda hcho chuo chs HK .yaa ndo ufaulu wangu mkuu wala sdanganyi

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom