Issue ni very simple huwa hao watu wana link na watu wa mitandao,bank,police ukimpa no yako yeye anaingiza kupitia sehemu mojawapo ya hizo tajwa kwa maana wanampa access then anawatoa au anawatumia no yako hao wahusika then wao wanamtumia soft copy hyo then mkimaliza wao wanagawana pasu pasuHivi wale wanaotangaza kutoa softcopy za NIDA wanazitoa wapi ? Wanafanyaje wale?