Msaada: Kupata nakala ya Kitambulisho cha NIDA

Tumia namba, inakubalika sehemu yoyote. Hiyo nakala ukaifanyie nini?
Ukweli kabsaa. Ila kuna baadhi ya taasisi wa ukritiba wa kizamanj. Wanataka uhambatanishe na nakala halisi ya hicho cheti. Tatizo liko kwa watunga kanuni kwenye taasisi zetu wanaofanya kazi kama wajima
 
Toa hela upewe Kitambulisho, vitambulisho havitolewi tu saivi wanasingizia material hamna wakati wapo watu nawajua walikua hawana hata namba leo wana vitambulisho ila tu kisa status za familia yao ni tofauti na sisi,nikaelewa.
 
HUDUMA ZINAZOPATIKANA

NIDA ONLINE COPY

EDITING YA VYETI

LIPA KWA AIRTEL

LIPA KWA VODA

UWAKALA AIRTEL

PROOF OF ADRESS

AFFIDAVITY OF RESIDENCE

UTILITY BILLS

BANK STATEMENTS

TIN NUMBER


LESENI YA UDEREVA


MALIPO NI BAADA YA KAZI
 
HUDUMA ZINAZOPATIKANA

NIDA ONLINE COPY

EDITING YA VYETI

LIPA KWA AIRTEL

LIPA KWA VODA

UWAKALA AIRTEL

PROOF OF ADRESS

AFFIDAVITY OF RESIDENCE

UTILITY BILLS

BANK STATEMENTS

TIN NUMBER


LESENI YA UDEREVA


MALIPO NI BAADA YA KAZI
Anapatikana telegram
 
Habari wadau,

Najua huku kuna wataalamu wengi, naomben msaada kujua ni jinsi gani ya kupata nakala ID ya kitambulisho changu cha NIDA.
Walisha uondoa huo mfumo muda mrefu. Matapeli walikuwa wanautumia kuwapiga watu. Hivyo NIDA waliutoa.
 
Back
Top Bottom