Msaada wa link ninayoweza kupata copy ya NIDA

Unavutia matapeli wakujie kwapupa..😂

Hiyo huduma hakuna narudia hakuna!
 
Unataka namba ya Nida au soft copy au mfano wa kitambulisho kilichotolewa photocopy
 
Hivi wale wanaotangaza kutoa softcopy za NIDA wanazitoa wapi ? Wanafanyaje wale?
Issue ni very simple huwa hao watu wana link na watu wa mitandao,bank,police ukimpa no yako yeye anaingiza kupitia sehemu mojawapo ya hizo tajwa kwa maana wanampa access then anawatoa au anawatumia no yako hao wahusika then wao wanamtumia soft copy hyo then mkimaliza wao wanagawana pasu pasu
 
Huku kwetu tangu nimejiandikisha nida 2018 Jana ndio vimeletwa vitambulisho kata nikapata original copy!
 
Nenda kachukue id yako
 

Attachments

  • IMG-20231212-WA0027.jpg
    IMG-20231212-WA0027.jpg
    69.2 KB · Views: 22
Back
Top Bottom