Msaada wa line yangu ya Mpesa. Nilinunua kwa Mtu na sasa imegoma ghafla kusoma?

Jimmy ally

Senior Member
May 11, 2017
156
276
Kama kichwa kinavyoeleza,

Nahitaji msaada wa line yangu ya Vodacom Mpesa, line hii niliuziwa na mtu miaka mitatu sasa imepta, aliniuzia nikaendelea kuitumia baada ya yeye kufunga biashara ya huduma za kifedha.

Sasa alihama mkoa na sina mawasiliano yeyote nae, sasa juzi line yangu imegoma ghafla kusoma, sasa nafanyaje ili nii-swap wakati mimi sina document yoyote ya usajili wa lini hii, nahitaji msaada wenu, natanguliza shukurani.
 
Tatuta watu wa vodashop....upitie mlango wa nyuma.
 
Back
Top Bottom