Kweli,hiyo ndo dawa. Lakini,huyu mtu anapataje namba za watu? Wakati fulani hizi msg zinalenga na kukuita majina yaliyozoeleka sehemu unazotoka. Mfano,wewe Mwajombe,habari za Mbeya!! Nahisi wana connection fulani na messsage centres za mitandao yetu.