Mfalme Daud
Senior Member
- Feb 3, 2012
- 170
- 125
[emoji15] [emoji15] [emoji15] !!! Mkuu, unamaanisha nini?! Sijakusoma.VUNJA SIMCARD UTAKUWA FREEE, USIANGAIKE NA VISIVYO ONGEA
Ok mkuu. Hiyo namba 28700 ndo inamaanisha nini?!Nitumie 28700 nimzuie jamaa asikutumie msg tena
But hakuna namna ya kuzia kwamba akituma, ziwe zinamgomea kuja. Coz kwangu ishakuwa kero. Kila siku iendayo kwa Mungu lazima nitumiwe hizo msg.Pole sana mkuu hata mimi huwa natumiwa sana hzo txt ila uwe unazipuuza tu na kuzifuta
Ipige blacklist hyo no utakua free mkuuHabari ya leo wanajamvi. Kama kichwa kinavyojieleza, naombeni msaada. Nimekuwa napokea msg zaidi ya mbili kila siku iendayo kwa Mungu ambazo ni za kitapeli. Nimemtaka huyo anayenitumia aache lakini bado business as usual. Nimepiga pia huduma kwa mteja, but wamesema hawawezi kuzuia msg za mteja kwenda kwa kwa mteja mwenzake hivyo nitafute namna nyingine ya kuzuia. Naombeni msaada maana hii ni kero kwangu, namna gani naweza kuzuia hii dhoruba isiingie kwa simu yangu. LIMESEJI LENYEWE LINALOINGIA DAILY KWA SIMU YANGU NI HILI HAPA[emoji116] [emoji116] [emoji116]
"Habari yako mjukuu wangu, ile dawa ya biashara pamoja na zindiko la mali vimekuwa tayari,uwahikuja kabla sijasafiri.mana nataka kwenda naigeria naire dawa yamvuto na chuma ulete nayo nimetengeneza. nimimi mganga wako wa sumbawanga".
Simu yangu haina option ya blacklist.Ipige blacklist hyo no utakua free mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] !! Simu yangu haina option ya kublock. Natumia tecno M 6. Iphone, naionaga tu kwa wahenga!!Mkuu block iyo namba yake
Iyo ndo njia pekee kama unatumia iphone ndo rahisi kabsaaa
Wala usiwe na jaka moyo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !! Hata umtukaneje, wala hajali. Unakuta kesho unaamka na mameseji mengi zaidi ya jana. Nimetumia mbinu zote za msg za kumkatisha tamaa but, she/he dont care. Kila siku naamka nalo!!! Labda kama kuna njia nyingine nisaidie mkuu. Nmemchoka balaaa.Blacklist izo namba mchezo kwisha au mtumie meseji ya kumkatisha tamaa kabisa unaweza mwambia dawa ya kuongeza umri wako iko teyar nitumie milioni 2 nitakutumia kwa njia ya kichawi.Atokutumia tena izo sms za kipuuz.
Mbona simple tuu download app tuu umblock huyo mtuSimu yangu haina option ya blacklist.
Mfalme Daudi uyo atakuwa jini mkata kamba anakuandama lakin usichoke pambana tu,me kwangu aliachaga baada ya kumtumia sms za kumkatisha tamaa.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !! Hata umtukaneje, wala hajali. Unakuta kesho unaamka na mameseji mengi zaidi ya jana. Nimetumia mbinu zote za msg za kumkatisha tamaa but, she/he dont care. Kila siku naamka nalo!!! Labda kama kuna njia nyingine nisaidie mkuu. Nmemchoka balaaa.
Blacklist izo namba mchezo kwisha au mtumie meseji ya kumkatisha tamaa kabisa unaweza mwambia dawa ya kuongeza umri wako iko teyar nitumie milioni 2 nitakutumia kwa njia ya kichawi.Atokutumia tena izo sms za kipuuz.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !! Mpaka nakuja hapa jukwaani, mpambano nimeupoteza!! Ndo maaana nmekuja kwenu wajuzi wa mambo nitafute namna ya kumwondoa.Mfalme Daudi uyo atakuwa jini mkata kamba anakuandama lakin usichoke pambana tu,me kwangu aliachaga baada ya kumtumia sms za kumkatisha tamaa.
Naam, best app gani hiyo? Inaitwaje?!Mbona simple tuu download app tuu umblock huyo mtu
Chizi alogwi × 2.[emoji28][emoji28] kila kichaa na jalala lake