msaada wa kuretrival document yangu

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
Wadau habarini,
naomba kujuzwa kama ninaweza kuretrive document yangu ilikuwa kwenye ms word nikaijaza then ghafla ili stuuck afu ikafunga, naweza kuipata tena ikiwa vile vile imejazwa? msaada ndugu!
 
Back
Top Bottom