Msaada wa kupata kitambulisho cha NIDA online

yash_ed

Senior Member
Jan 9, 2020
142
382
Msaada Tutani,

Naombeni kwa anayejua hii Ishu anitonye na Mimi Nipate Kitambulisho Changu cha NIDA Online Nikatoe Copy Jamani nimeteseka sana.😰🙏
 
NIDA online copy service walishaga sitisha

Now online unaeza pata namba ya NIDA tu
 
Msaada wakuu Kwa aliyewai kuomba NIDA online hatua ni zipi, na Je Kuna kulipia?

Kama malipo yapo, unalipia nini na unalipa kiasi gani?
 
Sasa mkuu unaenda mahali mwaka mzima kufuatilia kitambulisho hupewi hawakuonei huruma wala aibu sasa unatarajia kama online watakupatia hao miungu watu?

Tena hii taasisi ifutwetu au uongozi watimuliwe wakacheze zumna na drafti hiko
 
Mama bado hajaitolea tamko hii taasisi
 
Msaada wakuu Kwa aliyewai kuomba NIDA online hatua ni zipi, na Je Kuna kulipia?

Kama malipo yapo, unalipia nini na unalipa kiasi gani?
Hata ukiambiwa hamna malipo nikama vile yapo tu.
Kama Mandonga vile ukipiga umepiga na ukapigwa nikama umepigwa.
NIDA nikama ndonga boy
 
Back
Top Bottom