Msaada wa kununua gari ndogo (IST)

Msaada wa kununua gari ndogo (IST)

Nzuri sana
Yap nimeikagua gari nzuri ila zipo nzuri zaidi ya hiyo wao wanakutumia gari iliyokaa muda mrefu yard ili itoke angalia XT hii harafu mwaka mmoja na hiyo zote 2019 na bei sawa utachukua ipi..
20260126_110422.jpg
 
Habari zenu,

Naomba msaada kwa mtu anayefahamu jinsi ya kuagiza gari nje, gari ndogo aina ya Ist, nimeulizia kwa makampuni ninayoyafahamu naona bei hazipishani na yard japo wanasema bei imepanda(17-18m)

Briefly, rafkiangu anataka kuagiza gari (mwenyewe)aina hiyo kupunguza gharama, bila kutumia kampuni za ndani, sijajua kwanini kafikiria hii ndio njia nzuri, ila kumsaidia zaidi nimeona nililete humu!

Wenye ujuzi karibuni!
Karibu sana Morning Joy Motors
Tayari tunazo Ist zimeshafika Tanzania ziko banderini zinasubiri kutoka

Tunaweza kuwasiliana
KARIBU OFISINI KWETU
TUPO ARUSHA KALOLENI KWENYE JENGO LA CONDO HOTEL LILILOPO MKABALA NA SHALOM CHURCH

OFFICE NUMBER 016 GROUND FLOOR


☎️ : +255797113153
.
 
Back
Top Bottom