Pole sana mkuu. 5m ungenunua kimada wa kudumu kabisa mwenye sura kumpita huyowa picha tu. Kweli umemaliza; yaani kwa kuona picha tu, ukatuma 5m. Makapuku wako sana kweli.
Ushauri; Usijaribu kumloga kwa sababu aweza kuwa rafiki mliokuwa naye Mzumbe. Halafu alipozichukua, alikununulia lunch. Mimi sio mchawi ila hao ni marafiki zangu. Waliniambia, ukitaka mtu uliyemla asikudhuru kwa uchawi wala akipasua chungu kisikudhuru, mlishe chakula kidogo kwa fedha yake hiyo hiyo au mlipie karo mwanaye. Akijaribu kukuloga huugua yeye.
Muulize rafiki yrtu mshana jr atathibitisha