Msaada wa kumroga aliye Senegal, amenitapeli TZS 5 Millioni

Sio Muongo hao matapeli waliibuka sana miaka 2011 na baadhi ya watu walilizwa bila kutafakari
I know, hata mimi hao wanigeria na wasenegal walishanzizingua mara nyingi tu facebook, ila in this particular case, huyu anatunga
 
Hahahahahhha,umeliwa na inawezekana ni mwanaume aliyejifanya mwanamke ili atapeli,matapeli wa hivyo wapo kibao hasa wanaigeria.
 
Huo mchezo waliucheza sana miaka ya 2011&2012 walinishawishi sana ila hakunipata ng'oo.
 
Salam wakuu.

Naomba ushauri wa namna ya kumroga mtu ambaye yupo nchi ya nchi ya Tanzania. Kuna mdada mmoja nilianza kuwasiliana nae mapema mwaka juzi nikiwa Chuo Kikuu Mzumbe,anatokea Senegal.Alianza kwa kuniomba urafiki facebook, nikamkubalia.Alionekana kuwa mwenye umbo zuri na sura nzuri sana.

Ikafikiwa hatua akasema yupo kambi ya kulelea watoto waliopatwa na majanga ya wazazi wao,na yeye akiwa mmoja wapo. Kwa historia yake, alisema babaake alikuwa meneja wa benki kule Sudan kusini lakini baadae aliuawa na kuacha kiasi kikubwa sana cha pesa benki, US$ 20,000,000.(Dola milioni ishirini).

Tukakubaliana mm nitume hela milioni 5 za hapa kwetu kwa ajili ya kuactivate akaunti ya babaake ili hela hizo zichukuliwe. Alisema mm ningepata mgao wa TZS 150,000,000 na alishakubali kuja kuishi hapa Tanzania ili tuoane maana yeye hana ndugu tena.Walikufa kwa machafuko. Nilipambana sana na hali hii ilivyo, nikatuma TZS 5,000,000 (kwa mfumo wa dollar). Cha kushangaza, hata simu aliyokuwa akiitumia kuwasiliana na mm, haipatikani. Hata mlezi wao hapatikani.

Naombeni mbinu mpya ya uchawi ili nimrogee hukohuko.Siwezi kukubali hela yangu ikapotea hivyohivyo mm.Sikubali kabisa.

Msaada please.

Nawatakia jioni njema
Pole huyo ni Dume alafu lipo Nigeria! Just esabu maumivu and endelea mbele
 
kijana msomi unatepeliwa kizembe mwaka 2017 kwa mbinu za kitapeli zilizotumika mwaka 2009/2010?.like serious!!!.

wewe bila shaka ndio wale vijana wa mikoani/vijijini waliongia mjini wakiwa watu wazima baada ya kuchaguliwa na TCU vyuo vya mijini.
 
Salam wakuu.

Naomba ushauri wa namna ya kumroga mtu ambaye yupo nchi ya nchi ya Tanzania. Kuna mdada mmoja nilianza kuwasiliana nae mapema mwaka juzi nikiwa Chuo Kikuu Mzumbe,anatokea Senegal.Alianza kwa kuniomba urafiki facebook, nikamkubalia.Alionekana kuwa mwenye umbo zuri na sura nzuri sana.

Ikafikiwa hatua akasema yupo kambi ya kulelea watoto waliopatwa na majanga ya wazazi wao,na yeye akiwa mmoja wapo. Kwa historia yake, alisema babaake alikuwa meneja wa benki kule Sudan kusini lakini baadae aliuawa na kuacha kiasi kikubwa sana cha pesa benki, US$ 20,000,000.(Dola milioni ishirini).

Tukakubaliana mm nitume hela milioni 5 za hapa kwetu kwa ajili ya kuactivate akaunti ya babaake ili hela hizo zichukuliwe. Alisema mm ningepata mgao wa TZS 150,000,000 na alishakubali kuja kuishi hapa Tanzania ili tuoane maana yeye hana ndugu tena.Walikufa kwa machafuko. Nilipambana sana na hali hii ilivyo, nikatuma TZS 5,000,000 (kwa mfumo wa dollar). Cha kushangaza, hata simu aliyokuwa akiitumia kuwasiliana na mm, haipatikani. Hata mlezi wao hapatikani.

Naombeni mbinu mpya ya uchawi ili nimrogee hukohuko.Siwezi kukubali hela yangu ikapotea hivyohivyo mm.Sikubali kabisa.

Msaada please.

Nawatakia jioni njema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
 
Pole sana mwachie mungu atakulipia usilipize kisasi mungu wetu tunae mwabudu na kumtegemea hapendi visasi.
 
Hivi punde utakuwa taahira,, kumbe Mzumbe ndo yanakosoma mataahira?
 
Back
Top Bottom