Msaada wa kumroga aliye Senegal, amenitapeli TZS 5 Millioni

Umeibiwa kwa style ambayo naijua tangu najifunza kutumia computer nikiwa darasa la nne cyber cafe pale Nazi Hotel Arusha.
 
we roga tuu aliyekutapeli sio msenegali na mbongo mwenzio hapo chuo cha mlimani tuu,we tupa jiwe kizani tuu litakayempata ndio huyohuyo
 
Kwanza unastahili kuomba radhi kws kuichafua taasisi ambayo kimsingi dhima yake ni kuwafundisha watu kwa maendeleo ya watu! Pili unastahili kunyanganywa accademic certificate za ngaz zote hautufai katika jitihada za kufanikisha Tanzania ya viwanda na uchumi wa kati! Lastly inawezekana umetumia cheti cha mtu kuingia chuo!
 
Salam wakuu.

Naomba ushauri wa namna ya kumroga mtu ambaye yupo nchi ya nchi ya Tanzania. Kuna mdada mmoja nilianza kuwasiliana nae mapema mwaka juzi nikiwa Chuo Kikuu Mzumbe,anatokea Senegal.Alianza kwa kuniomba urafiki facebook, nikamkubalia.Alionekana kuwa mwenye umbo zuri na sura nzuri sana.

Ikafikiwa hatua akasema yupo kambi ya kulelea watoto waliopatwa na majanga ya wazazi wao,na yeye akiwa mmoja wapo. Kwa historia yake, alisema babaake alikuwa meneja wa benki kule Sudan kusini lakini baadae aliuawa na kuacha kiasi kikubwa sana cha pesa benki, US$ 20,000,000.(Dola milioni ishirini).

Tukakubaliana mm nitume hela milioni 5 za hapa kwetu kwa ajili ya kuactivate akaunti ya babaake ili hela hizo zichukuliwe. Alisema mm ningepata mgao wa TZS 150,000,000 na alishakubali kuja kuishi hapa Tanzania ili tuoane maana yeye hana ndugu tena.Walikufa kwa machafuko. Nilipambana sana na hali hii ilivyo, nikatuma TZS 5,000,000 (kwa mfumo wa dollar). Cha kushangaza, hata simu aliyokuwa akiitumia kuwasiliana na mm, haipatikani. Hata mlezi wao hapatikani.

Naombeni mbinu mpya ya uchawi ili nimrogee hukohuko.Siwezi kukubali hela yangu ikapotea hivyohivyo mm.Sikubali kabisa.

Msaada please.

Nawatakia jioni njema
wewe unaacha kutafuta wanawake wa kuoa nƴumba za ibada na uliosoma nao ,majirani,wa ƙaɓila lako ofisini ƙwako unaenɗa tafuta facebooƙ. kule faceɓooƙ ɗume laweza weƙa picha ya miss ɗunia liƙanƴifanƴa jike linaloishi marekani kumɓe liƙo manzese kwa mfuga mɓwa.usomi ulionao wa kijinga huu utapeli mɓona wa kishamɓa na wa miaka mingi ya 1990 mwanzoni.wewe nɗio leo unajifanƴa kushtuka? Huyo huwezi loga wewe
 
Yaani wizi ule kumbe kuna watu mlipatikana?
Kwa hiyo ulijiona una bahaaaati kupata mwanamke tajiri sio. Maana kulikua maswali lukuki ya kujiuliza kabla ya kuchukua maamuzi, tena ni maswali ambayo hayaitaji kuwa na elimu kubwa ili uweze kujiuliza sasa unaposema ww ni msomi wa chuo kikuu ndo nashangaa. Au ulihadaika na umbo na sura? Ama kwetu penzi kitovu cha uzembe.
Kwa taarifa tu zile pic wanazotumia huwa sio zao. Pole sana kaka ila hapo ukubali umetapeliwa, usikubali umetapeliwa hakuna namna.
 
Wee jamaa bwege kweli yani mpaka unachukua degree pale mzumbe hukujua kama huyo ni tapeli imekula kwako hiyo mzee
 
Huenda unatoa story ya rafiki yako asiye na weredi wa mitandao , Ila wewe huwezi tapeliwa kihivyo
 
Mkuuu....kutapeliwa kwako kumetufundisha mim kibao wamegonga mwamba...kizuri ungetushirikisha b4.. Pole ila amekufndisha kutafta ucjali...belive
 
Wacha kudharirisha mzumbe kijana!Pale hakujawahi kutoa watu wa kupenda dezodezo .
 
Salam wakuu.

Naomba ushauri wa namna ya kumroga mtu ambaye yupo nchi ya nchi ya Tanzania. Kuna mdada mmoja nilianza kuwasiliana nae mapema mwaka juzi nikiwa Chuo Kikuu Mzumbe,anatokea Senegal.Alianza kwa kuniomba urafiki facebook, nikamkubalia.Alionekana kuwa mwenye umbo zuri na sura nzuri sana.

Ikafikiwa hatua akasema yupo kambi ya kulelea watoto waliopatwa na majanga ya wazazi wao,na yeye akiwa mmoja wapo. Kwa historia yake, alisema babaake alikuwa meneja wa benki kule Sudan kusini lakini baadae aliuawa na kuacha kiasi kikubwa sana cha pesa benki, US$ 20,000,000.(Dola milioni ishirini).

Tukakubaliana mm nitume hela milioni 5 za hapa kwetu kwa ajili ya kuactivate akaunti ya babaake ili hela hizo zichukuliwe. Alisema mm ningepata mgao wa TZS 150,000,000 na alishakubali kuja kuishi hapa Tanzania ili tuoane maana yeye hana ndugu tena.Walikufa kwa machafuko. Nilipambana sana na hali hii ilivyo, nikatuma TZS 5,000,000 (kwa mfumo wa dollar). Cha kushangaza, hata simu aliyokuwa akiitumia kuwasiliana na mm, haipatikani. Hata mlezi wao hapatikani.

Naombeni mbinu mpya ya uchawi ili nimrogee hukohuko.Siwezi kukubali hela yangu ikapotea hivyohivyo mm.Sikubali kabisa.

Msaada please.

Nawatakia jioni njema
Unakitia aibu chuo nilichosoma ww! That institution used to be Tanzanian Havard! Lakn cku iz (hasa ulipoanza mfumo wa TCU kupangia watu vyuo, ni full vilaza! Na ww utakuwa ni mmojawao
 
Wewe ushatapeliwa milioni 5 sasa unatafuta kutapeliwa zaidi.

Waswahili wangesema una shetani wa kutapeliwa.
 
Usihangaike kumroga, utajiri huu hapa. Leo niliomba rift kwa mzungu. Amedondosha kitu kinang'aa sana kimeandikwa"Mwadui diamond" $400000000". Mimi nimeshindwa kukielewa ni kitu gani.
Nitumie laki tano tu nikupe.
 
Hakuna uchawi, sana sana watakuja hapa matapeli wakutapeli zaidi, uchawi pesa kaka, hapo imekula kwako pole, ni utapeli uliosambaa kwenye mtandao, ungeuliza wenzako...POLE, endelea na maisha..
 
Salam wakuu.

Naomba ushauri wa namna ya kumroga mtu ambaye yupo nchi ya nchi ya Tanzania. Kuna mdada mmoja nilianza kuwasiliana nae mapema mwaka juzi nikiwa Chuo Kikuu Mzumbe,anatokea Senegal.Alianza kwa kuniomba urafiki facebook, nikamkubalia.Alionekana kuwa mwenye umbo zuri na sura nzuri sana.

Ikafikiwa hatua akasema yupo kambi ya kulelea watoto waliopatwa na majanga ya wazazi wao,na yeye akiwa mmoja wapo. Kwa historia yake, alisema babaake alikuwa meneja wa benki kule Sudan kusini lakini baadae aliuawa na kuacha kiasi kikubwa sana cha pesa benki, US$ 20,000,000.(Dola milioni ishirini).

Tukakubaliana mm nitume hela milioni 5 za hapa kwetu kwa ajili ya kuactivate akaunti ya babaake ili hela hizo zichukuliwe. Alisema mm ningepata mgao wa TZS 150,000,000 na alishakubali kuja kuishi hapa Tanzania ili tuoane maana yeye hana ndugu tena.Walikufa kwa machafuko. Nilipambana sana na hali hii ilivyo, nikatuma TZS 5,000,000 (kwa mfumo wa dollar). Cha kushangaza, hata simu aliyokuwa akiitumia kuwasiliana na mm, haipatikani. Hata mlezi wao hapatikani.

Naombeni mbinu mpya ya uchawi ili nimrogee hukohuko.Siwezi kukubali hela yangu ikapotea hivyohivyo mm.Sikubali kabisa.

Msaada please.

Nawatakia jioni njema
Sio uwongo hata kidogo izo meseji zipotezee mkuu wanapenda kutumia majina ya mapadri kutapeli watu
 
Mzumbe sanatoa vilaza siku hizi duh!
 
bwege ww pigwa tu si hata ungegoogle utapeli wa senegal au liberia
 
Back
Top Bottom