Msaada wa kudownload drives

Msaada wa kudownload drives

ARV

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
5,554
Reaction score
7,993
Ombi kwenu wataalam, naomba mnisaidie jinsi ya kudownload drives za VGA,maana nimeweka Window XP,lakini nikakuta screen inaleta font kubwa sana, na nikienda kwenye settings nakuta kuna resolution ya 16bits, 32bits haipo,nisaidieni.
 
weka aina ya computer yako na model yake hapo itakuwa rahisi kupata msaada
 
Always kimbilio la kwanza la drivers nenda tovuti ya wategeneza kompyuta. Kwa case yako ungefika link hii ya Dell optiplex drivers for windows xp

Pakua na install hizo file zilozoandikwa Recommended kwenye importance. Ukipenda unaweza hata kuongeza zilizoandikwa optional
 
Back
Top Bottom