Msaada wa kuchakachua modem

nashukuru kwa link,nimeshapata,pia nilikuwa naomba unitajie model ya modem hiyo ya tigo mkuu mfano HUAWEI E1550 ,what i know ni kwamba ni za huawei,but cjabahatika kupata hata moja ili nisome model no yake,!
Nyingi ni Huawei E153
 
Back
Top Bottom