SUASO
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 770
- 1,196
Pia mkuu IPO Bsc of Environmental science and management pia nzuri!!! Karibu sana SUAAsante sana kaka
Pia mkuu IPO Bsc of Environmental science and management pia nzuri!!! Karibu sana SUAAsante sana kaka
Je katika hizo NNE unanishauri nichukue ipi ambayo ni bora kuliko zingine mkuuAgriculture general
Agronomy
Food science
Bitechnology
Pia mkuu IPO Bsc of Environmental science and management pia nzuri!!! Karibu sana SUA
Asante sana mkuuPia mkuu IPO Bsc of Environmental science and management pia nzuri!!! Karibu sana SUA
Yeah! Its my identification!!!Hii ni SUASO kwa maana ya serikali ya wanafunzi SUA au ni username yako binafsi
Usiwaze mkuu ila kuedit pale haiwezekani pia tunza sna log in details zako usisahau passwords zako mkuundio mkuu sasa nawapigia simu ahawapatikani ni sokoine university
Shukrani mkuu natumaini vijana watazidi kupata updates ni misahada panapohitajika. Kwa wageni hii "Serikali Ya wanafunzi SUA"Pia mkuu IPO Bsc of Environmental science and management pia nzuri!!! Karibu sana SUA
Sokoine mfumo wenu wa kuapply online sio rafiki kabisa waambieni ma IT wenu warekebishe hauna maelezo ya msaada yani vuluvulu kama umekosea password imekula kwako.. Mnawachanganya vijanaYeah! Its my identification!!!
Bro kuna shida gan na online admission system ya sua? i cant get in to registerNdio mkuu karibu