Msaada wa kuapply SUA

KiharoAbel

Member
Jan 8, 2014
43
6
Habari zenu wadau.... Mi ni form six leaver nataka Niapply SUA nimelipia ile ya ada ya sh.10000 lakini nashindwa kuendelea sababu password sina.... Naomba mnisaidie njia lahisi ya kutumia ili kupata password
 
ingia kwenye email uliyo fungia uta kuta passwrd
 
Ingia kwenye email uliyotumia kuregister utakuta password utalogin na kuendelea na usajili wako kama kawaida. Karibu SUA
 
Naomba msaada kujua ni kozi gani mzuri ya kusoma hapo coz Nina d flat kweny combination ya PCB na ninahitaji kusoma hapo ..natanguliza shukran
1.agriculture general
2.hoticulture

Mimi nipo Irrigation and water resource eng
 
Naomba msaada kujua ni kozi gani mzuri ya kusoma hapo coz Nina d flat kweny combination ya PCB na ninahitaji kusoma hapo ..natanguliza shukran

Kama upo fresh Mathemetics ya olevel pia unaweza piga Bsc Biopressing and Post harvest engineering . Aina esabu ngumu wala kama bam ulikua unaipiga vizuri
 
Nashukur sana naomba usisite kunishauri kwa msaada zaidi...na mungu atakubariki
Usijali ndugu mana hata mimi nilipata msaada humu humu tena bila malipo yeyote hivyo jiskie huru kuuliza panapohitaji msaada. Kila la kheri mkuu
 
Back
Top Bottom