Msaada wa kuapply SUA

Msaada wa kuapply SUA

Kozi zote za Engineering za SUA unaweza kupata,hapo kitakacho kubeba ni B/Math ya O'level kama ulipata F usiombe.Itabidi uombe ,ANIMAL SCIENCE,VET,LAB.TECHNOLOGY,FORESTRY,AGRONOMY,AGRIC.GENERAL.,RANGE MANAGEMENT,Kuna nyingine Food Science&technology.Hata hivo UDSM kuna Kozi wameanzisha Kama za SUA Agric.Engineering,Food science and tech,Agric General.ALL THE BEST
 
Kama bado hujafanikiwa kupata password yako....ingia kwenye e-mail uliyotumia kujisajili huko utapata kila kitu kimewekwa
 
Habari zenu wadau.... Mi ni form six leaver nataka Niapply SUA nimelipia ile ya ada ya sh.10000 lakini nashindwa kuendelea sababu password sina.... Naomba mnisaidie njia lahisi ya kutumia ili kupata password
Achana na SUA, nenda kaombe Mzumbe University
 
good
Hiyo inahusu kilimo cha mbogamboga matunda na maua kama unavyosikia USARIVER pale arusha wanalima Sana Maua
vp mkuu sijambatisha cheti wakati naomba sua je kuna tatizo na ndio je naweza kuambatanisha na nikatuma tena au kutuma ni mara tu naomba msaada
 
good
vp mkuu sijambatisha cheti wakati naomba sua je kuna tatizo na ndio je naweza kuambatanisha na nikatuma tena au kutuma ni mara tu naomba msaada
Uliregister kupitia simu? Maana naona simu zinagoma ila ukikubaliwa utakua na access ya ku upload mkuu usiogope maana matokeo yako tayari wanayapata boss
 
Uliregister kupitia simu? Maana naona simu zinagoma ila ukikubaliwa utakua na access ya ku upload mkuu usiogope maana matokeo yako tayari wanayapata boss
ndio mkuu sasa nawapigia simu ahawapatikani ni sokoine university
 
Back
Top Bottom