Msaada wa ku-upgrade win 7 from home to professional | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa ku-upgrade win 7 from home to professional

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Muadilifu, Oct 20, 2012.

 1. Muadilifu

  Muadilifu Senior Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 150
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wakuu, naomba msaada wa ku-upgrade window 7, kuto home edition kwenda pro edition. Niliwahi kuiona hiyo thread hapa, lakini leo nimeitafuta bila mafanikio.
   
 2. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Unayo win pro upgrade? kama huna format machine anza upya tu kaka
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,776
  Likes Received: 7,094
  Trophy Points: 280
  1. Je hiyo window yako 7 home imekuja na computer au umeekewa tu mtaani? Kama imekuja na computer better iache maana vya wizi si vizuri wakikudaka utapoteza kila kitu.

  2. Kama ulieka tu mtaani na unaona unataka proffesional thread hii hapa mkuu

  https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/280631-upgrade-to-windows-7-professional-au-ultimate-bila-kutumia-cd-wala-chochote.html
   
 4. Muadilifu

  Muadilifu Senior Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 150
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
 5. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  wadau, watu wengi wanaonunua brand new computers uwa wanakuta imeku installed na cheapest windows 7 starter ambayo ina lack many features ahass upande wa multimedia.
  Sasa ngoja niwape siri moja ni kwamba DVD ya installation ya windows 7 uwa inacontain aina zote za Windowa seven sema kuna command tag ambayo ndiyo ina determine cd ikuwekee windows 7 aina gani.
  sasa kwa wenye windows 7 statrter leo nawapa formula ya ku upgrade windows 7 starter bila kutumoa internet wala cd la kufanya fanya haya:
  Start->All Programs->type Windows Anytime Upgrade na press enter
  weka hizi key upgrade to Proffession->237XB-GDJ7B-
  MV8MH-98QJM-24367 na ku upgrade to Ultimate->6K2KY-BFH24-
  PJW6W-9GK29-TMPWP
  itachukua kama dakika 10 kazi kwisha
   
 6. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,577
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Xana 2 wakuu ,,,mi naitunza 2
   
Loading...