Msaada wa kiufundi wa TV

Msaada wa kiufundi wa TV

Pole.
Mwambie fundi a-check backlight inverter. Kama haina tatizo, apime PWM signall zinazoingia kwenye inverter toka kwenye main board kama zipo.
 
Nadhani nitaachana na products za LG. Nina TV yangu flat nayo imechora mistari 4. Kila mwezi unaongezeka mstari. Nahitaji fundi makini. Kwa mwenye msaada tafadhali 0717935721. Asante
 
Lg ziko sawa tu km utapata orginal mi nilikuwa nayo flat plasma imedunda since 2011 till now haijawahi kuwa na tatizo lolote mpaka nimeamua kuuza nimechukua lg tena
 
Nafikiri fundi alimaanisha IC na sio AC!
 
Lg ziko sawa tu km utapata orginal mi nilikuwa nayo flat plasma imedunda since 2011 till now haijawahi kuwa na tatizo lolote mpaka nimeamua kuuza nimechukua lg tena
Mkuu hatasisi tumenunua original. Nadhani handling ndio tunatofautiana. Nahisi wakati wa kufuta housegirl anatumia maji ikiwa on. Power fluctuation inaweza kuwa tatizo pia na kuua transistor and capacitor. Ila swala la original products huwa nazingatia sana..
 
Duh unafuta na maji! hujui kuna sln special ya kusafishia
 
Hilo ndilo kosa alilofanya housegirl.. Pia nyumba ina mtoto mdogo hivyo very likely kuwa na matukio kama hayo. Sln ninazo za kutosha lakini siwezi acha kazi nilinde mtoto. Kama unamjua fundi unaweza toa msaada otherwise keep cool tu
 
Tv yako ni LG ya technology ipi: plasma,LCD au LED? Anyway, ni model ipi?
 
Naomba mnijuze wakuu, nimefunga solar power nyumbani kwangu halafu nineweka invetor kwaajili ya kuubadilisha umeme kutoka DC to AC, ile nyumba ya uwani umeme wake natumia DC na huu wa AC natumia kwa nyumba ya mbele kwa kuwasha TV ya 'in' 32 ya kawaida siyo ya solar. "Ninachotaka kujua naweza kutumia feni na subwoofer?
 
Habar Mkuu alpha,yakwangu ni LCD model ya zamani nilichukuwa mtumba Kariakoo.haionyeshi picha lakini inatoa sauti .waweza nisaidia kujua tatizo
Salama mkuu. Kama inatoa sauti, mulika na tochi yenye mwanga mkali, kama utaona picha iliyofiffia, litakuwa tatizo la backlight inverter au taa ya backlight. Hata hivyo ni vema upeleke kwa fundi akutengenezee.
 
hivi hizo "backlight ni sh ngapi?
 
Tunafukua makaburi
Naombeni kujuzwa pia,mi nina hisense pembeni mwa kioo juu upande wa kushoto na wa kulia kwa mbali mwanga unaanza kufifika kutokea pembeni mfano ikiwa inadisplay picture full utaona juu pembeni kuna namna mwanga haufiki vizuri shida ni nini na je inatatulika?
 
Badili taa
 
Back
Top Bottom