Msaada: TV yangu nikiiwasha haitoi mwanga

Msaada: TV yangu nikiiwasha haitoi mwanga

doper

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2014
Posts
312
Reaction score
150
Ndugu naombeni msaada,

TV yangu ni Samsung flat screen inch 32, leo nimeiwasha inawaka lakini inatoa mwanga hafifu sana, yani 95 % ni kiza tu, msaada wa fundi tafadhali.

Niko Dar, no 0714495367
 
Back
Top Bottom