Wanajukwaa naomba ushauri wa kisheria. Nilinunua kiwanja kabla ya kuwa n.a. mchumba. Baadae nikapata mchumba lakini kabla hatujafunga ndoa nikawa nimejenga nyumba hadi kiwango cha Renta. Baadae tukafunga ndoa nikaendelea kuimalizia taratibu. Kukatokea mfarakano kwenye ndoa hadi kazaa nje ya nje n.a. hatuishi nae. Sasa amefungua kesi ya kuomba talaka. Sababu za kuomba talaka eti mimi ni mzinifu wakati hajawahi kunikamata lakini yeye ndo kazaa nje ya ndoa. Pili ananadai ndo kajenga nyumba.je hili Swala limekaaje kisheria?