Bado mdg20 yrs, ndio alinisaliti
Bado mdg20 yrs, ndio alinisaliti
Okay [emoji106] fine nimeelewa tatizo lako inshort bado moyo wako unamumivu ya kusalitiwa hivyo ndio maana inakua ngumu kupenda tena. though pia na age yako ya 20yrs inachangia.20 yrs, ndio alinisaliti
[emoji38][emoji38] jumapili hii mkuu siku ya mungu mbona unatema povu kiasi hiyo.Yaani una miaka 20 na miaka mitatu iliyopita ulikuwa na mpenzi (17) na sasa umetembea na wasichana kibao ambao hujawahi wapenda
Na unataka tukupe ushauri
Una miaka ishirini
Kimalaya wewe
Hebu tokapaaa
Mkuu umeshatoka ibadani.Ngoja nikitoka Ibadani tajua Cha kukushauri
Kwani mwalimu jimmy anasemaje.Habari zenu wana JF katika jamvi.
Naomba ushauri wenu jamani. Miaka mitatu iliyopita niliwahi kuwa katika mahusiano na demu fulani hivi hakika nilimpenda sana ila ikafika tamati yetu tukaachana.
Baada ya hapo nilitembea na wasichana wengi wasiokuwa na idadi lakini sikuwahi kumpenda yeyote yule kila nikijitahidi hata kupenda nashindwa naombeni ushauri wenu jamani.
Hivi mtu anaweza chukua miaka hata 10 Hadi aje kupona?.[emoji848]Chukua huu msemo time heal,mda uponya
Hapo mwisho tu yaani hapo mwisho tu . Sentensi hiyo ya mwisho tu ndio mchawi kwingine kote umenena vyemaMapenzi ya njiani huishia njiani Waweza kuwa ulikutana na jini mahaba njiani au mwenye hilo jini .Hilo mkibwagana huji kusikia hamu tena ya mwanamke.Hata ukimuona waweza ona kinyaa na kujiapiza kuwa huji kuoa au kutaka mwanamke
Hata wanawake wengi wanakutana na wanaume wenye hayo majini mahaba wakiachwa huapa kutokuwa na mwanaume tena na huona hata kinyaa wakiona mwanaume
Dawa yake nenda Kwa Mwamposya ukafanyiwe maombi.Utakaa sawa
Ni pepo hilo
Kwa hesabu za harakaharaka una 23-24 yrs kijana tafuta maisha kupenda kupo automatically ukiwa na maisha mazuri.20 yrs, ndio alinisaliti
Umeona ehHapo mwisho tu yaani hapo mwisho tu . Sentensi hiyo ya mwisho tu ndio mchawi kwingine kote umenena vyema
Inategemeana na kiwango cha maumivu aliyoyapata kipindi anaumizwa.Hivi mtu anaweza chukua miaka hata 10 Hadi aje kupona?.[emoji848]
Habari zenu wana JF katika jamvi.
Naomba ushauri wenu jamani. Miaka mitatu iliyopita niliwahi kuwa katika mahusiano na demu fulani hivi hakika nilimpenda sana ila ikafika tamati yetu tukaachana.
Baada ya hapo nilitembea na wasichana wengi wasiokuwa na idadi lakini sikuwahi kumpenda yeyote yule kila nikijitahidi hata kupenda nashindwa naombeni ushauri wenu jamani.
[emoji23][emoji23][emoji23] shule zifunguliwe tu aisee.20 yrs, ndio alinisaliti