Msaada wa kisaikolojia: Siwezi kupenda tena

Msaada wa kisaikolojia: Siwezi kupenda tena

Kuwa serious kijana muda mwingne yan una 20yrs alafu unasema mliachana miaka 3 iliyopita means ulikuwa na miaka 16 au 17 bad unasema tangu hapo hujawah kupenda msichana yeyote ingawa ushawah kuwa nao wengine anywayz pole kwa yaliyokukuta ila hio haikuwa kupenda ni mihemko tu ya balehe plus upweke ndo unakufanya uone ulimpenda sana hapo hapakuwa na mapenzi alafu acha kuwa makini sana na mapenzi fikisha hata miaka 25 ndo utafte pisi ya kuish nayo tofaut na hapo endelea na mish zako kama ulivyosema ushatembea na wengi waendeleze tu
sawa mkuu
 
Hapana wakuu hivi kwani hakuna ugonjwa unahusiana na haya mambo ya kukata emotions
 
Mapenzi ya njiani huishia njiani Waweza kuwa ulikutana na jini mahaba njiani au mwenye hilo jini .Hilo mkibwagana huji kusikia hamu tena ya mwanamke.Hata ukimuona waweza ona kinyaa na kujiapiza kuwa huji kuoa au kutaka mwanamke

Hata wanawake wengi wanakutana na wanaume wenye hayo majini mahaba wakiachwa huapa kutokuwa na mwanaume tena na huona hata kinyaa wakiona mwanaume

Dawa yake nenda Kwa Mwamposya ukafanyiwe maombi.Utakaa sawa

Ni pepo hilo
Daadeki[emoji1787][emoji1787]
 
Wakuomba ushauri ni mimi.. maana swala la KUOA kwa upande wangu halipo na sitarajii
 
Habari zenu wana JF katika jamvi.

Naomba ushauri wenu jamani. Miaka mitatu iliyopita niliwahi kuwa katika mahusiano na demu fulani hivi hakika nilimpenda sana ila ikafika tamati yetu tukaachana.

Baada ya hapo nilitembea na wasichana wengi wasiokuwa na idadi lakini sikuwahi kumpenda yeyote yule kila nikijitahidi hata kupenda nashindwa naombeni ushauri wenu jamani.
Mwanamke akilia kwajili ya mwanamme,basi jua alimpenda huyo mwanaume- lakini mwanaume akilia kwajili ya mwanamke jua hatokuja kupenda tena mwanamke

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wana JF katika jamvi.

Naomba ushauri wenu jamani. Miaka mitatu iliyopita niliwahi kuwa katika mahusiano na demu fulani hivi hakika nilimpenda sana ila ikafika tamati yetu tukaachana.

Baada ya hapo nilitembea na wasichana wengi wasiokuwa na idadi lakini sikuwahi kumpenda yeyote yule kila nikijitahidi hata kupenda nashindwa naombeni ushauri wenu jamani.
Una tatizo la afya ya akili
 
Back
Top Bottom