Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umehudhuria hata ibadani kweli? Au unaingia misa ya saa nne
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umehudhuria hata ibadani kweli? Au unaingia misa ya saa nne
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]njiani tu mkuu
hapa hujaeleza vya kutosha ni vigumu kukuoa msaada kwa maelezo mafupi kama hayoHabari zenu wana JF katika jamvi.
Naomba ushauri wenu jamani. Miaka mitatu iliyopita niliwahi kuwa katika mahusiano na demu fulani hivi hakika nilimpenda sana ila ikafika tamati yetu tukaachana.
Baada ya hapo nilitembea na wasichana wengi wasiokuwa na idadi lakini sikuwahi kumpenda yeyote yule kila nikijitahidi hata kupenda nashindwa naombeni ushauri wenu jamani.
ngj nijaribu mkuuJipe mda wa kuwa mwenyewe kwanza kama mwezi au miezi miwili
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nishatoka! Sema nlivoona umri wake nikaona nsifanye biashara ya kumpigia mbuzi gitaa!Mkuu umeshatoka ibadani.
Ashamaliza advance huyo si unaona umri wake 20yrsHope kuanzia 14 August tutapumzika mada za hivi....mkaripoti tu form five huko😌
Miaka 20+ ana waza pakuzitafutia hisia za mapenzi.Nishatoka! Sema nlivoona umri wake nikaona nsifanye biashara ya kumpigia mbuzi gitaa!
Nimeamua niendelee ku-you tubika tu
Hii mitoto ya siku hz changamoto Sana 😁😁😁zama zetu miaka 20 unachunga mifugo home no time for dinyaring🍑.Miaka 20+ ana waza pakuzitafutia hisia za mapenzi.
Kwa hali hii acha tuuzwe tuHii mitoto ya siku hz changamoto Sana 😁😁😁zama zetu miaka 20 unachunga mifugo home no time for dinyaring🍑.
Kwa kweli kuna MTU unaweza kumpenda kupita kiasi lakini usiwe naye maishani.Ni kawaida hii... tafuta wa kuishi nae sio wa kumpenda.
Upendo unakuja Automatically sio forced utakutana na taype yako utapenda tu.Habari zenu wana JF katika jamvi.
Naomba ushauri wenu jamani. Miaka mitatu iliyopita niliwahi kuwa katika mahusiano na demu fulani hivi hakika nilimpenda sana ila ikafika tamati yetu tukaachana.
Baada ya hapo nilitembea na wasichana wengi wasiokuwa na idadi lakini sikuwahi kumpenda yeyote yule kila nikijitahidi hata kupenda nashindwa naombeni ushauri wenu jamani.
Muda bado sana ....long way to go son [emoji4]20 yrs, ndio alinisaliti
Basi atulie kwanza,, atafute tu hela mapenzi yatakuja yenyewe 😌🙌Ashamaliza advance huyo si unaona umri wake 20yrs