OGOPASANA
JF-Expert Member
- Apr 30, 2009
- 262
- 144
Habari Great Thinkers in Business Forum,
Natafuta mdau anayeweza kunikopesha kiasi cha Tsh milioni 5 ama zaidi then nimrejeshee kwa riba kwa muda usiozidi miezi minne, vigezo na masharti kuzingatiwa. Nina ofisi nategemea kufungua hivi karibuni lakini mtaji wa nilioanzia hautoshelezi mahitaji ya wateja ninaotegemea kuwapa huduma. Nimejaribu kutembelea ktk Bank nyingi na makampuni binafsi ya huduma za kifedha lakini nimekosa vigezo vya udhamini wanavyovitaka ambavyo ni nyumba na gari.
Sincerely,
0713 633 969