Wana JF,
Naomba mwenye dictionary ya TUKI ya Eng-Swa-Eng ambayo ni ya kuinstall kwenye computer. Natanguliza shukrani.
Ndugu Fadhili Paulo na CodeR, wote nawashukuru sana kwa msaada wenu. Kamusi ya TUKI si hii niliyokuwa naihitaji maana hii ninayo. Nilikuwa nayo moja inakuwa na faili la kuinstall kama software, sasa kwa bahati mbaya limeliwa na kirusi kimoja kinachoshambulia flush disk. Niliipenda ilikuwa nzuri sana kwani ilikuwa na maneno mengi sana, sina uhakika na hii uliyonipa ndugu CodeR.
Thanks