Msaada wa Kamusi ya TUKI

achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
369
62
Wana JF,

Naomba mwenye dictionary ya TUKI ya Eng-Swa-Eng ambayo ni ya kuinstall kwenye computer. Natanguliza shukrani.
 
Mkuu, Hiyo hapo nimekuwekea ipakuwe na uitumie
 
Attachments

  • TUKI_Eng-Sw-Eng_Dictionary.zip
    2.6 MB · Views: 293
Ndugu Fadhili Paulo na CodeR, wote nawashukuru sana kwa msaada wenu. Kamusi ya TUKI si hii niliyokuwa naihitaji maana hii ninayo. Nilikuwa nayo moja inakuwa na faili la kuinstall kama software, sasa kwa bahati mbaya limeliwa na kirusi kimoja kinachoshambulia flush disk. Niliipenda ilikuwa nzuri sana kwani ilikuwa na maneno mengi sana, sina uhakika na hii uliyonipa ndugu CodeR.

Thanks
 
Nenda maktaba ya TUKI pale UDSM kama upo Dar, ila sina hakika kama wanazo kwa kuwa wkt nanunua hard copy walisema wameacha kuzalisha soft copy kwa kuwa watu walikuwa wanagawiana juu kwa juu kwny PC zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom