Msaada wa kampuni ya kufanyia IPT Kwa Dar es salaam

Msaada wa kampuni ya kufanyia IPT Kwa Dar es salaam

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,436
Reaction score
3,558
Wakuu salam.
Mimi ni mwanafunzi wa Electronics and Telecommunication Engineering DIT ,Naomba yeyote mwenye connection na kampuni inayojihusisha na mawasiliano ama Taasisi zenye idara ya mawasiliano ya kielectronic kama AIRPORT,VODA,TCRA nk anisaidie kupata nafasi ya kufanya mafunzo ya vitendo mwezi August kwa hapa Dar .
Natanguliza shukurani.
 
Back
Top Bottom