sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,283
- 976
Ni ujinga unakusumbua. Shida sio kujua ni nini kinaendela S. Sudan. Shida ni wewe ulivyoelezea. Mbona hapa umeweza kuelezea vzr! Unapofanya kosa ni vizuri kukiri!
Sio ujinga tu, ni upuuzi unamsumbua, na title yake aliyojipa hata kama kweli haiendani na maandishi yake..
hapa ni jf, tunapeana habari, huwezi kuanzia habari katikati eti kwa kudhani kila mtu anajua mwanzo wake.. nyie ndio mnajiita wasom.. si kila mtu yupo mjini au kila m2 ana'acess na radio au tv. wengne wanategemea simu na jf tui!
hopeless kabisa wewe!
NB: Mungu amsaidie huyo jamaa na wote wenye mkinzo wa hivyo!
Serikali imesikia.