inaonekana huyo jamaa anamajivuno'anajiona mwelewa kuliko wengine hapa Jf ..Yaani umeeleza kiungwana
tatizo la mleta huyu mada. Huu ni ukumbi, kuna kila aina ya wasomaji,
kama anajuwa wapi kwa kupeleka hizo habari si angefanya hivyo? Umeleta
JF... Jieleze ueweleweke!
Nilikuwa natafuta cha kusema lakini najikuta presha
inanipanda....