Msaada wa haraka: Tunnel Guru...!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu,
Leo nimewasha pc yangu nakufungua TG nianze kusurf ghafla inaniletea error hii:

nashindwa kuelewa tatizo nn maana kama ni ku-update tg no yangu kwenye web tayari nilishafanya hilo na pia situmii pc mbili tofauti ni hii hii moja sasa sielewi hii error inakuja vp. nAOMbeni msaada nimekwama kwenye tuta wakuu.
 
chief-mkwawa siku hizi ni reseller wa Tunnel Guru au macho yangu?
 
Last edited by a moderator:
  • Hiyo error imejitokeza pia kwa wengine.
  • Ufumbuzi wake ni kubadili Proxy Host
  • ​Weka ya UK
 
  • Hiyo error imejitokeza pia kwa wengine.
  • Ufumbuzi wake ni kubadili Proxy Host
  • ​Weka ya UK
Mkuu kwa wanao taka tumia Torrent inakuaje, hawajamaa wa guru saivi wanazingua kweli mara tunaambiwa account expired, yaani utata mtupu

CC: Paje & njunwa wamavoko
 
Mkuu kwa wanao taka tumia Torrent inakuaje, hawajamaa wa guru saivi wanazingua kweli mara tunaambiwa account expired, yaani utata mtupu

CC: Paje & njunwa wamavoko
hata mimi ndio kinanicost hapa maana matumizi yangu makubwa ni kwenye torrents sa sijui inakuaje
 
Tafuta hela weka account ya bytebx kuconvert torrents to direct downloads
 
Mkuu kwa wanao taka tumia Torrent inakuaje, hawajamaa wa guru saivi wanazingua kweli mara tunaambiwa account expired, yaani utata mtupu

CC: Paje & njunwa wamavoko

unatumia server ya canada na nerthelands afu kitu inagoma kweli?
127.0.0.1:6055 ndo inabidi ku-set ktk client yako
Iwapo client moja itagoma jaribu nyingine e.g ikigoma utorrrent basi kamua na Bitcomet au bittorent
 
Tatizo hizi za canada inakuwa Over load mara nyingi. Za Netherland na Mjerumani hazifanyi kazi mbona majanga hayo
 
io kitu imenitokea jana mpaka nikashindwa kuelewa nini shida
 
Naona mjadala umenoga. Duh jf! Ila jamaa wakibana tusilie coz mambo wazi wazi sana.
Ni mtazamo.

Big up Mwl.rct, wamavoko etc.
 
sijui lini tutajifunza. kila mtu kila siku anafungua thread mpya kuhusu hayo mambo. wakati ni jambo la kuwasiliana na reseller wako na ni kajitatizo kadogo tu.
mara huyu kaweka screenshot ya speed mara yule kaweka screenshot ya error.....
kama muliachiwa miezi mingi endeleeni hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…