Msaada wa haraka......mwongozo wenu wakuu, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa haraka......mwongozo wenu wakuu,

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by NGOSWE.120, Sep 12, 2011.

 1. NGOSWE.120

  NGOSWE.120 JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Wakuu wana JF, heshima kwenu woteeee!

  Naomba mwongozo wenu juu ya tatizo langu.

  Mimi ni mfanyakazi serikalini (mwalimu wa shule ya msingi - TGTS E, cheo changu ni Afisa Elimu daraja la kwanza, ninataka kuagiza gari kutoka japani lenye cost ya US.Dollar 8460 hapo linakuwa limefika DSM,kabla ya kulitoa bandarini/ushuru wa forodha!

  Tatizo langu ni kuwa nataka kutumia kigezo cha utumishi serikalini ili nipate exemption ya ushuru wa forodha, sasa ikiwa mimi cheo changu ndio hicho hapo juu, na mwajiri wangu ni mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya, kama mjuavyo sisi walimu wa kada ya chini:-

  1. Nina-qualify kupata exemption ya ushuru wa forodha kwa ajili ya kuingiza gari nchini?
  2.Kama na-qualify je hizo process nianzie wapi wakuu wangu, maana nina hamu na hiyo kitu/gari!
  3. Mkurugenzi /mwajiri wangu hawezi niletea longo longo? na je mwongozo unasemaje juu ya hili tatizo langu?

  NB:Wakuu wote wana Jf, natanguliza shukrani zangu za dhati kwa nyote mtakao nisaidia ili kufanikisha hii azma yangu ya kumiliki hii gari amabayo kiu-ukweli nimeipenda sana!


  ASANTENI SANA - NA KAZI NJEMA!

  Wenu mpendwa,

  Ngoswe.120
   
 2. M

  Maega Senior Member

  #2
  Sep 12, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa mujibu wa TRA ili upate exemption inabidi mshahara wako uwe at least TGS D au equivalent yake na zaidi. Sijui hiyo scale yako kama ni equivalent na TGS Dau zaidi kama ungesema ni sh ngp ningekwambia kama unapata exemption au la. Hata hvyo ukienda TRA watakujibu on the spot
   
 3. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  asante mkuu kwa maelezo yako mkuu
   
 4. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Khaaaa we ni fisadi dagaa hakiamungu,me mwenyewe tgs e ila sina gari la $8500,mana hii ni mikato ya prado na nn,kazi kweli kweli
   
 5. O

  O Rei New Member

  #5
  Sep 12, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mhhh,kwakweli no hard feelings,lkn jamaa anatisha,mwalimu ana afford gari with an FOB cost of $8,500!!!!....kwanza utalimudu vip?
  Nways,majibu ya swali lako sina,ila i felt compelled to expresss my atonishment!
   
 6. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  sasa kama anafanya biashara zingine awezi kumudu kupata izo pesa?? wewe endelea kusubiri mwisho wa mwezi ufike!
   
 7. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  kama hukuwa na jibu kwa ombi lake ni kwamba hukuwa na msaada anao hitaji.. sio sawa kuhoji atalimudu vp..
   
 8. Ellie

  Ellie Senior Member

  #8
  Sep 13, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acheni hizo, kama ana biashara zake ??wewe jibu swali na kama huwezi tulia,...!
   
 9. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />

  Kma ndo hivyo basi tusiwaite wakina lowassa na mkapa mafisadi sbb nao wanabiashara zako pia!
   
 10. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Acheni chuki binafsi,inawezekana akawa kazini mwaka wa 30 so akawa kakusanya hela siku nyingi.pia yawezekana katoka familia bora.
  wengine hawajabweteka na ualimu wao wakaanza kujihusisha na biashara mwishoe kafanikiwa wewe wabaki kukinga mshahara mwisho wa mwezi.
  na hiyo dollar 8000 kasema ni CIF sio FOB
   
 11. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  TGTS E ni zaidi ipo juu ya TGS D jamani mbona inajieleza kabisa? Wakati TGS D ni 446,100/=, TGTS E ni 618,300/=. Back to the topic Mkuu Ngoswe nakumbuka kama ulisema unafundisha Songea TTC hivi!!!! kama nakumbuka vizuri. If yes Mwajiri wako hawezi kuwa DED bali Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu. Kuhusu Exemption nenda TRA utapata habari hizo zote na kama sikosei inatakiwa ipitishwe na DAS/DC wa Wilaya husika then na RAS/RC wa Mkoa na kwamba haitarajiwi gari hilo liwe kwa jaili ya biashara na huruhusiwi kuuza kwa mtu mwingine kwa kipindi fulani nadhani miaka mitatu
  Hope nimejaribu kuchangia Mkuu
   
 12. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Kaka nakushukuru sana kwa michango yako hapo juu.ASANTE SANA MKUU! Nimekupata vema na hivi sasa naelekea TRA wanipe hizo taratibu au maelezo ya kina zaidi. Kwa kweli unatusaidia sana kutupatia taarifa zenye mashiko ambazo ni msaada mkubwa kwetu!

  Mungu akubariki na pia kazi njema kaka!
   
 13. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mwenzenu yawezekana yupo Mtimbira AU Ulanga analima sana mpunga.Kwa hesabu ya haraka sana ni gunia 290 za mpunga tu.Gunia moja la mpuga ni sh 50,000 la debe kumi.Tembea unone,kuna watu wanapata mpaka magunia 1000 tena wanataumia kilimo cha jembe la kukokotwa na ng'ombe.
   
 14. M

  Mtized one Member

  #14
  Sep 13, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo kuna watu wana cjuihata niwekeje.....we mtu kununua gari mnapooonda baada ya kumpa big up kwa hatua aliyopiga ckuhizi gari sio anasa ni basic need......so wewe/nyie co kwamba hamtaki kumiliki bali mnakua wavivu kugungua opportunities za kuwaongezea kipato ili kuafford needs zenu.
  Msivunje watu moyo bana nyie wa wapiii? Kama huna msaada colazima kuchangia next time..we kausha tu.
   
 15. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu hakuna haja ya kujipa mastrees yasiyo na sababu,usinunue gari ya hela nyingi kiasi hicho,kuna magari mazuri ya bei rahisi ya kukusaidia maisha yako
  kama ni kweli badilishsa mawazo,ila kama unatania ni poa tu
   
Loading...